Kila sehemu kuna tamaduni zake, mwaka 2000 nilikwenda Tanga kimajukumu, katika pitapita ufukweni nilikutana na jamaa yangu aliyekuwa Station Master wa TAZARA X akiwa na kapu la samaki kwenye baiskeli analipeleka nyumbani, ujuavyo watu wa Tanga walivyo wakarimu akanitaka nikapafahamu kwake, on our way tulipita zaidi ya sehemu 6 akinunua viungo na mahitaji mengine na zoezi hilo lilituchukua zaidi ya saa nzimaMwisho utaanza kuosha vyombo na chupi za mkeo ili uheshimiwe kumbe anakulia gepu tu
Mtoa mada hujamuelewa hajamaanisha urudi na rundo la mahitaji..Amemaanisha urudi na chochote kitu ndio maana kuna mmojq hapo kasema hata mkate mkate sio mbaya.Jukumu la kwenda sokoni ni la mke. Acha kuingilia majukumu ya mkeo. Mpe hela ataamua akanunue nini kama mama house. Mambo yanayohusu jikoni usiingilie kabisa.... Usijifanye romantic kupitiliza.. utaharibu.
zingatia neno ukirudi utakimbiliwa kupokewa, hiyo hela ukiwaachia ukirudi hawakukimbilii maana hauna cha kupokelewaVipi nikiacha/nikitoa hela wakanunue wao wenyewe.
Expert unatuvunjia heshimaKabisa sio kidume unarudi home umeninginiza makende na kikojoleo chako tu.
Vitu ndio vinavyojenga heshima na upendo kiongozi tusijifariji na kujidanganya. Huwa kuna kitu fulani unacho ndio maana mtu anakupenda au kukuheshimu.Heshima au upendo havitakiwi kujengwa kwa vitu, heshima inatakiwa kujengwa na utashi.
Hizi ni zangu hizi. Nikitoka wakati wa kurudi ni lazima nimebeba kitu mkononi. Hili nilijifunza kutoka kwa dingi yangu.Ukiwa umeoa / nyumbani una familia hakikisha kila unaporudi home unarudi na mfuko umejaa vitu vya sokoni.
Ukijenga huo utamaduni itakuongezea heshima kwenye nyumba yako hata kabla haujaingia ndani ya nyumba yako utaona mke au watoto wanakukimbilia kukupokea.
"Mbwa hambwekei anayempa chakula"Ukiwa umeoa / nyumbani una familia hakikisha kila unaporudi home unarudi na mfuko umejaa vitu vya sokoni.
Ukijenga huo utamaduni itakuongezea heshima kwenye nyumba yako hata kabla haujaingia ndani ya nyumba yako utaona mke au watoto wanakukimbilia kukupokea.
Si kila siku nakupokea, unarudi unanukia tu kvant!Kwani lini ulinipokea?
Ukiona nanukia kvant au winston kuna kitu ulinifanya jana ndio maana nikapata stress, hufai kabisa.Si kila siku nakupokea, unarudi unanukia tu kvant!