Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watoto watapokea pipi sisi mtubebee hata nanasi.Hata pipi si mtapokea ?
Tuanze kujenga utamaduni huo.
Ewaaaaaahhhh!True, sema kama una familia bas mara moja au mbili kwa week unaenda na vizawadi extra, eg, Yoghurt, mara juice, mara matunda mengine ambayo hayapo, mara umerudi na mbuzi choma,
Kila siku nakuambia hudhuria vikao hutaki hudhuria vikao hutaki ona sasaVipi nikiacha/nikitoa hela wakanunue wao wenyewe.
Thubutu mm narudi na mfuko mwanamke anakuangalia kama nyanya mbichiUkiwa umeoa / nyumbani una familia hakikisha kila unaporudi home unarudi na mfuko umejaa vitu vya sokoni.
Ukijenga huo utamaduni itakuongezea heshima kwenye nyumba yako hata kabla haujaingia ndani ya nyumba yako utaona mke au watoto wanakukimbilia kukupokea.
Wengine wanaona ufahari kurudi wakiwa wamelewa 😄
Sio kweli, mimi kila siku naacha 15k-20k na bado vitu vya sokoni narudi navyo mwenyewe bila kuambiwa, tena huwa nanunua vya kutosha vinaweza kukata hata wiki tatu hadi mweziJukumu la kwenda sokoni ni la mke. Acha kuingilia majukumu ya mkeo. Mpe hela ataamua akanunue nini kama mama house. Mambo yanayohusu jikoni usiingilie kabisa.... Usijifanye romantic kupitiliza.. utaharibu.
Sorry! 😜Oya acha kunitukana
Hata wa Gongo pia wengine wako vizuriZamani nilivyokua nimeoa nilirudi nimelewa ila pia na vyakula vilikua havikatiki ndani , labda wewe umewakariri walevi wa gongo😁
Wewe bado ni MASKINI. Nitafunga siku 3 bila kula kitimoto kukuombea huo ufukara wa hadi kukagua friji ukutoke. Kwa maelezo yako bado unaishi maisha fulani hivi ya kiswazi yenye harufu kali ya umaskini. Ukiacha hizo akili za kuongozana na mkeo sokoni mtafanya mambo makubwa ya maendeleo badala ya hivyo VICOBASio kweli, mimi kila siku naacha 15k-20k na bado vitu vya sokoni narudi navyo mwenyewe bila kuambiwa, tena huwa nanunua vya kutosha vinaweza kukata hata wiki tatu hadi mwezi
Ukimpa pesa mkeo ya kununua vitu vya sokoni atanunua ila kwa kujibana sana
Ila ukinunua mwanaume; kama mimi nikipitia sokoni huwa nanunua vya kutosha pia naweza kuzidisha bajeti tofauti na pesa nitakayomwachia yeye inaweza kuwa ndogo hivyo hataweza kununua vya kutosha
Na nikiona namna gani vipi huwa naongozana nae sokoni namwambia achague chochote sometimes huwa namkabidhi wallet yenye pesa kabisa kisha mimi kazi yangu ni kubeba mazaga
Pia anapenda juice flani hivi hivyo kama siku sijisikii kubeba mizigo huwa napita kwa mangi namchukulia juice yake pendwa narudi nayo
Huwa nina utaratibu wa kukagua friji naangalia nini kimepungua nirudi nacho, pia kuna vitu kama mchele, sukari, maharage, unga hivi vyote huwa nanunua mwenyewe yeye atanijulusha tu kwamba kuna kitu kimepungua basi
Hivyo utakuta pesa nnayomwachia kwa hiyo 15k -20k nnayomwachia kwa siku ataipeleka kwa vikoba vyake huko na mimi huwa namwambia usije kujichanganya
Sasa wana vikoba wenzake nasikia wanamsema hakopi maana haiingizi faida yeye kazi yake ni kuweka tu
hakika mkuu, inatoka dar had chalinzeHii kamba kubwa sana kirahisi hivo
Kumbe? Basi walevi tuheshimiwe.Hata wa Gongo pia wengine wako vizuri
Mnaheshimiwa sana mbona ila muwe mnarudi na Vi wine kidogo na Vi Grand Malta, Kuku, Makange hata mkirudi asubuhi mje navyo tu 😜😜😅😅Kumbe? Basi walevi tuheshimiwe.
Hivyo vimejaa kwa fridge ni wewe tu😜😜Mnaheshimiwa sana mbona ila muwe mnarudi na Vi wine kidogo na Vi Grand Malta, Kuku, Makange hata mkirudi asubuhi mje navyo tu 😜😜😅😅
Hujanielewa badoWewe bado ni MASKINI. Nitafunga siku 3 bila kula kitimoto kukuombea huo ufukara wa hadi kukagua friji ukutoke. Kwa maelezo yako bado unaishi maisha fulani hivi ya kiswazi yenye harufu kali ya umaskini. Ukiacha hizo akili za kuongozana na mkeo sokoni mtafanya mambo makubwa ya maendeleo badala ya hivyo VICOBA
Unajitetea sana. Kama bado uko kwenye level za kuwaza kwenye friji kuna nini bado uko chini sana. Waza maendeleo sio hayo mambo madogo madogo. Kujaza friji mwachie mkeo.Hujanielewa bado
Kuhusu kukagua friji ni kwamba naangalia kilichopungua (huwa napenda friji iwe full kuanzia soft drinks mpaka matunda) sisi hatutumii vilevi
Umezungumzia ishu ya kutoka na mke wangu kwenda sokoni ila hujazungumzia kuhusu kumkabidhi wallet yenye pesa
Sababu kuu ya kuongozana naye sokoni huwa sipendi apate shida ya kubeba mizigo wakati mumewe nipo pia huwa anajisikia vizuri kumsaidia
Kwa siku naacha kuanzia 15k -20k kumbuka ndani kuna kila kitu na vingine narudi navyo (pia nafanya kazi kariakoo na njia yangu ni lazima nipite kariakoo sokoni)
Ndiyo mimi ni masikini ila sijafika hatua ya kukosa pesa ya kula mkuu
Vicoba kajiunga kwa mapenzi yake mimi kaniomba ruhusa nimemruhusu ila binafsi sio mtu wa kujihusisha na michezo yao
Nashukuru kwa kuniombea mkuu ila binafsi naamini katika juhudi za utafutaji
Kwa kuongezea tu ni kwamba mimi ishu ya kuongozana na mke wangu sokoni ni mapenzi yetu ila yeye mwenyewe anapenda mimi nirudi na vitu vya sokoni sababu anajua nikirudi navyo mimi nitaleta vya kutosha
Nampa good care kiasi kwamba ukikutana naye huwezi jua kama ana mtoto na ananyonyesha