MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Hakuna kitu kama hicho. Hizo kazi za mama. Mwanaume rudi na hela.Mtoa mada hujamuelewa hajamaanisha urudi na rundo la mahitaji..Amemaanisha urudi na chochote kitu ndio maana kuna mmojq hapo kasema hata mkate mkate sio mbaya.
Hhh very disappointingWanawake wa bongo hata urudi na gunia dharau zipo palepale...unaweza unaambiwa leo ndo umeona uje na furushi lako huku..wake zako wa nje mmegombana Nini?
Heeeh jamani, yamekuwa hayo tena!!!Ukiona nanukia kvant au winston kuna kitu ulinifanya jana ndio maana nikapata stress, hufai kabisa.
Hata pipi si mtapokea ?Waambie wakishindwa kupita sokoni wanunue hata mkate.
Kweli aisee kwa sisi tulio na familia huu ushauri nimeuchukuaUkiwa umeoa / nyumbani una familia hakikisha kila unaporudi home unarudi na mfuko umejaa vitu vya sokoni.
Ukijenga huo utamaduni itakuongezea heshima kwenye nyumba yako hata kabla haujaingia ndani ya nyumba yako utaona mke au watoto wanakukimbilia kukupokea.
Kuna ukwleli hapaUkiona nanukia kvant au winston kuna kitu ulinifanya jana ndio maana nikapata stress, hufai kabisa.
Lakini si tunarudi na hela!Kabisa sio kidume unarudi home umeninginiza makende na kikojoleo chako tu.
Sometimes michongo haijakubali hata maembe ya buku mbili hakuna.Ila kurudi nyumbani bila kitu mkononi inauma!!
Mbona unatushambulia kulikoni?Kabisa sio kidume unarudi home umeninginiza makende na kikojoleo chako tu.
Hii inafanyika siku moja moja. Unaweza ukawa umeacha hela ya nyama. Lakini si vibaya jioni ukarudi na Samaki hata watano tu. It has an impactJukumu la kwenda sokoni ni la mke. Acha kuingilia majukumu ya mkeo. Mpe hela ataamua akanunue nini kama mama house. Mambo yanayohusu jikoni usiingilie kabisa.... Usijifanye romantic kupitiliza.. utaharibu.
hili la mkate nimeliona sana meru huko ArushaWaambie wakishindwa kupita sokoni wanunue hata mkate.
Point kubwa sana hii.. Big up!!Ukiwa umeoa / nyumbani una familia hakikisha kila unaporudi home unarudi na mfuko umejaa vitu vya sokoni.
Ukijenga huo utamaduni itakuongezea heshima kwenye nyumba yako hata kabla haujaingia ndani ya nyumba yako utaona mke au watoto wanakukimbilia kukupokea.
Kuna watakao kuja kukupingaUkiwa umeoa / nyumbani una familia hakikisha kila unaporudi home unarudi na mfuko umejaa vitu vya sokoni.
Ukijenga huo utamaduni itakuongezea heshima kwenye nyumba yako hata kabla haujaingia ndani ya nyumba yako utaona mke au watoto wanakukimbilia kukupokea.
Ndio maana hautakiwi kutabirika, kwamba usifanye hivyo Kila siku kiasi cha kufanya aone ndio utaratibu au wajibu.Wanawake wenyewe hawa hawaridhiki ukifanya hivo siku ukiwa hujaleta utaletewa zogo
Hakuna kikao cha wanaume tulicho kaa tukakubaliana hilo jamboUkiwa umeoa / nyumbani una familia hakikisha kila unaporudi home unarudi na mfuko umejaa vitu vya sokoni.
Ukijenga huo utamaduni itakuongezea heshima kwenye nyumba yako hata kabla haujaingia ndani ya nyumba yako utaona mke au watoto wanakukimbilia kukupokea.