Mwanaume jenga utamaduni wa kurudi nyumbani na mfuko wa sokoni

Umesema sana
 
bado unayo ile suzuki escudo mkuu toka 2017?

nakumbuka sana ule uzi wako wa ulaji wa mafuta kwenye hii chuma yako..
 
Ka,i ya mke hiyo sio wewe mwanaume
 
kuna mmoja tulikuwa tunakulana tu sehemu nilikaa kama 2mnths hv, akawa muda mwingi yupo kwangu, nikawa nikitoka kwenye ishu zangu lazima niwe na mfuko umejaa mazaga.

alipokuja kuolewa mumewe akawa anarudi na makende yake tu japo alikuwa na kazi nzuri, siku uzalaendo ukamshinda akamwambia mumewe, "kwa nini usiwe kama granitized"?

mumewe kumbana akampa mkanda mzima, jamaa akamwambia nitafutie namba ya huyo granitized, bibie akampa jamaa akanitafuta nikampa maujanja, baada kama ya mwezi mwamba akanipigia akaniambia "mzee kuna mtu anataka kuniua na k huku" nikacheka tu, nikamwambia uwe unampelekea na chocolate siku 1 1.
 
Mbona hayo maisha ya kimasikini sana

Wajanja siku hizi kinanunuliwa kila kitu na kuwekwa kwa friji kwa mwezi au mara mbili kwa mwezi

Yaani nyama, samaki, nyanya za kuingia mchuzi na kakorokoro mengine vyote vipo kwa freezer
Hii nchi madogo mmeset standard za kishamba sana za kuonekana tajiri! Imagine mtu anaona kununua vitu rundo na kuweka kwa friji ni utajiri πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mateso yote ya Nini Haya.

Kataa ndoa
 
Mbona hayo maisha ya kimasikini sana

Wajanja siku hizi kinanunuliwa kila kitu na kuwekwa kwa friji kwa mwezi au mara mbili kwa mwezi

Yaani nyama, samaki, nyanya za kuingia mchuzi na kakorokoro mengine vyote vipo kwa freezer
True, sema kama una familia bas mara moja au mbili kwa week unaenda na vizawadi extra, eg, Yoghurt, mara juice, mara matunda mengine ambayo hayapo, mara umerudi na mbuzi choma,
 
Jukumu la kwenda sokoni ni la mke. Acha kuingilia majukumu ya mkeo. Mpe hela ataamua akanunue nini kama mama house. Mambo yanayohusu jikoni usiingilie kabisa.... Usijifanye romantic kupitiliza.. utaharibu.
Huu ujinga siwezi kufanya mara sijui umebeba nyanya, sijui samaki n.k
Mwisho wa siku unaanza kuagizwa, upitie nyanya, nyama mara sijui nini.
Acha hela, atajua yeye mwenyewe.
 
Hii kamba kubwa sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kirahisi hivo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sahihi ❀️
 
Siku usipokuja navyo mkeo ananuna
Mwanaume umeoa halafu unapita sokoni kununua nyanya, ndizi, vitunguu n.kπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Si bora ubaki single tu
🀣🀣🀣🀣πŸ₯΄
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ noma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…