Mwanaume jipe kipaumbele wewe mwenyewe

Mwanaume jipe kipaumbele wewe mwenyewe

Jipende mwenyewe, usimpe mwanamke upendo ambao haujajipa wewe mwenyewe.

Wanaume wengi wanaweka pembeni mipango, furaha na amani yao kwa lengo la kumridhisha mwanamke.

Ngoja nikwambie ukweli kuhusu mwanamke. Mwanamke haridhiki, hakuna ambacho utamfanyia kikamtosheleza kiasi cha kutohitaji tena umanyie zaidi ya hapo.

Hili kuwa salama zaidi mbele ya mwanamke ipe kipaumbele furaha yako, ipe kipaumbele amani yako, yape kipaumbele malengo yako. Mwanaume weka misingi na kanuni zako and jilinde usi-fall in love bila kutumia logic.

Hata story yake atakayokuambia iwe ya kusikitisha kiasi gani usiiguse akiba yako, usimuonee huruma, ni mtego huo kaka.

Usimtukuze mwanamke, sio mkombozi wako uyo, ni stranger tu uliekutana nae ukubwani akaamua kujiweka kwako kwa masilahi yake.

I love you, i love you my brother.
Hiyo sentensi ya mwisho nakumbuka tulikubaliana tuwe tunawaambia watoto,wanawake na mama zetu tu.Na,hatukishia hapo.Tuliligusia hata neno "miss" kwenye sentensi kama "I miss you brother" nayo isiwepo kwenye misamiati yetu.
 
Jipende mwenyewe, usimpe mwanamke upendo ambao haujajipa wewe mwenyewe.

Wanaume wengi wanaweka pembeni mipango, furaha na amani yao kwa lengo la kumridhisha mwanamke.

Ngoja nikwambie ukweli kuhusu mwanamke. Mwanamke haridhiki, hakuna ambacho utamfanyia kikamtosheleza kiasi cha kutohitaji tena umanyie zaidi ya hapo.

Hili kuwa salama zaidi mbele ya mwanamke ipe kipaumbele furaha yako, ipe kipaumbele amani yako, yape kipaumbele malengo yako. Mwanaume weka misingi na kanuni zako and jilinde usi-fall in love bila kutumia logic.

Hata story yake atakayokuambia iwe ya kusikitisha kiasi gani usiiguse akiba yako, usimuonee huruma, ni mtego huo kaka.

Usimtukuze mwanamke, sio mkombozi wako uyo, ni stranger tu uliekutana nae ukubwani akaamua kujiweka kwako kwa masilahi yake.

I love you, i love you my brother.
Subiri nikupe like yako kabla dada MSAGAJI Jadda hajaja kuharibu huu uzi Kwa comments zake mbaya zisizo na maadili,duniani hadi akhera
 
Jipende mwenyewe, usimpe mwanamke upendo ambao haujajipa wewe mwenyewe.

Wanaume wengi wanaweka pembeni mipango, furaha na amani yao kwa lengo la kumridhisha mwanamke.

Ngoja nikwambie ukweli kuhusu mwanamke. Mwanamke haridhiki, hakuna ambacho utamfanyia kikamtosheleza kiasi cha kutohitaji tena umanyie zaidi ya hapo.

Hili kuwa salama zaidi mbele ya mwanamke ipe kipaumbele furaha yako, ipe kipaumbele amani yako, yape kipaumbele malengo yako. Mwanaume weka misingi na kanuni zako and jilinde usi-fall in love bila kutumia logic.

Hata story yake atakayokuambia iwe ya kusikitisha kiasi gani usiiguse akiba yako, usimuonee huruma, ni mtego huo kaka.

Usimtukuze mwanamke, sio mkombozi wako uyo, ni stranger tu uliekutana nae ukubwani akaamua kujiweka kwako kwa masilahi yake.

I love you, i love you my brother.
Jamani 😅😅😅mnataka tuishi vipi sasa
 
Ujumbe kutoka kwa 50 cent.

"When a woman is broke , 99% of men will do everything to change her status . When a man is broke , 99% of women will walk out on him , dear young kings , be safe out there . Don’t go broke “

“There are women who will be with you even if you are broke , have no dollars or a home . That woman is your mother or sister . Most women these days walk out of your life the moment you got nothing"
50 ni baharia mwandamizi mtu wa maana kabisa.
 
Mleta mada umeongea fact kubwa sana, unakuta lijamaa linajitutumua kwa manz anashindwa hata kuvaa code nzuri, kulavizur kisa dem daah huw nawashangaa sana
Wajinga wamedanganywa mwanamke anahitaji matunzo na wao wanapelekwa tu na upepo kumbe wanawake wenyewe washaona mapenzi ni fursa ya kiuchumi.
 
Back
Top Bottom