Mwanaume jipe kipaumbele wewe mwenyewe

Mwanaume jipe kipaumbele wewe mwenyewe

Subiri nikupe like yako kabla dada MSAGAJI Jadda hajaja kuharibu huu uzi Kwa comments zake mbaya zisizo na maadili,duniani hadi akhera
Yani kwa vile wewe ni shoga basi ndio unadhani kila mtu anajihusisha na mapenzi ya jinsia moja
 
Subiri nikupe like yako kabla dada MSAGAJI Jadda hajaja kuharibu huu uzi Kwa comments zake mbaya zisizo na maadili,duniani hadi akhera
mkuu kwani hamuwezo kuja diliana hoja, pasipo kumkashifu mtu mwingine??.

wewe kuandika tusi juu ya fulani, haikufanyi uwe perfect.
 
Mbona mahusiano siku hizi kama VITA
Kwa kipindi kirefu mifumo ya kisheria na kijamii imekua ikimnyonya mwanaume, wanawake wameutumia huo mwanya kimkakati kujinufaisha wao binafsi na wamenogewa mpaka wamejisahau na kuanza kucheza rafu za waziwazi.

Imefika hatua na wanawaume tunalazimika kuji-adjust kitaalamu kwenye mfumo kwa usalama wa afya, akili na uchumi wetu.

Wapo wanawake wazuri lakini wanawake wabaya washaichafua taswira ya jinsia yote kwaiyo hatuwaamini wote kwa ujumla wao, naweza kusema wanawake wazuri ni victims wa matendo ya wanawake wabaya.
 
Sasa sehemu mojawapo ya furaha ya mwanaume si mwanamke??

Hivi wewe kwa akili zako kusingekuwepo kiumbe mwanamke unafikiri wanaume mngetafuta pesa??
Sisi ndio tunafanya hamtulii mnataka attention zetu.!
 
Mfano mtoto kafanya kosa halafu mama anamwambia subiri baba yako aje nimwambie inamjengea mawazo akilini kwamba baba ni mkatili.
Hapo nilipo bold sikubaliani na tafsiri yako, hapo ndiyo mwanamke anaonyesha mwenye mamlaka ndani ya nyumba ni mwanaume. Baba ndiyo kichwa cha familia.
 
Sasa sehemu mojawapo ya furaha ya mwanaume si mwanamke??

Hivi wewe kwa akili zako kusingekuwepo kiumbe mwanamke unafikiri wanaume mngetafuta pesa??
Sisi ndio tunafanya hamtulii mnataka attention zetu.!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
 
Sasa sehemu mojawapo ya furaha ya mwanaume si mwanamke??

Hivi wewe kwa akili zako kusingekuwepo kiumbe mwanamke unafikiri wanaume mngetafuta pesa??
Sisi ndio tunafanya hamtulii mnataka attention zetu.!
Wanaume unawaongelea wewe ni simps.

Mimi binafsi haijawai na haitakuja kutokea mwanamke kuwa motisha ya mimi kutafuta hela.
 
Hapo nilipo bold sikubaliani na tafsiri yako, hapo ndiyo mwanamke anaonyesha mwenye mamlaka ndani ya nyumba ni mwanaume. Baba ndiyo kichwa cha familia.
ni kweli ilo ni lengo la mwanamke lakini je akili ya mtoto inatafsiri nini?
 
Hivi nyinyi wanaume wa kibongo, naona mmeshindwa parefu na wanawake
Kwanini kila siku ni mada za mwanamke hivi marq vile?
Mwanaume halisi anaejitambua huwa hana muda wa kumjadili mwanamke, bali anamuheshimu na kujielewa na kuishi nae kutokana na makubaliano yao.
Nyinyi mbuzi msiooa ndio mnachachatuka kama mnaenda kuishi jini siku mkioa
 
Hili ndio jukwaa lake mzee baba, kama mada za mlengo huo zinakuchodha wewe skip tu, wala haujalazimishwa kusoma.
 
Wanaume unawaongelea wewe ni simps.

Mimi binafsi haijawai na haitakuja kutokea mwanamke kuwa motisha ya mimi kutafuta hela.
Utasema sasa na umeamua kujifanya motivation speaker.!
Nyie mnaopiga kelele huku ni wahanga wa kupigwa matukio
 
Topic imekuzidi akili, ni bora ukakaa kimya kulinda heshima yako(kama unayo iyo heshima)
 
Back
Top Bottom