Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
Nimerudi best,.Weeeeeeeeeeeeeeeee umerudiiiiiii
Kinini hicho umeshika?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimerudi best,.Weeeeeeeeeeeeeeeee umerudiiiiiii
Lee Jay najivunia wewe rafiki yanguNimerudi best,.
Kinini hicho umeshika?
Mwanaume unatakiwa ujipendeje ivo hadi usione umuhimu wa kuwa na mahusiano na mwanamke.Jipende mwenyewe, usimpe mwanamke upendo ambao haujajipa wewe mwenyewe.
Wanaume wengi wanaweka pembeni mipango, furaha na amani yao kwa lengo la kumridhisha mwanamke.
Ngoja nikwambie ukweli kuhusu mwanamke. Mwanamke haridhiki, hakuna ambacho utamfanyia kikamtosheleza kiasi cha kutohitaji tena umanyie zaidi ya hapo.
Hili kuwa salama zaidi mbele ya mwanamke ipe kipaumbele furaha yako, ipe kipaumbele amani yako, yape kipaumbele malengo yako. Mwanaume weka misingi na kanuni zako and jilinde usi-fall in love bila kutumia logic.
Hata story yake atakayokuambia iwe ya kusikitisha kiasi gani usiiguse akiba yako, usimuonee huruma, ni mtego huo kaka.
Usimtukuze mwanamke, sio mkombozi wako uyo, ni stranger tu uliekutana nae ukubwani akaamua kujiweka kwako kwa masilahi yake.
I love you, i love you my brother.
Ni kweli mkuu., na kumuelewa uko hakuna mahusiano na kumuhonga au kumpa hela.Sawa mkuu , ila binafsi naona mwanamke ukimwelewa vizuri anayo akili kubwa ya kukufanya utoke hatua ndogo kwenda kubwa zaidi.
Topic imekuzidi akili, ni bora ukakaa kimya kulinda heshima yako.Mwanaume unatakiwa ujipendeje ivo hadi usione umuhimu wa kuwa na mahusiano na mwanamke.
Mwishoe upende mwanaume mwenzako muwe mashoga sasa.
Kweli, unaangalia na mazingira. Kama mkeo hakutunzi wakati huu hawezi kukutunza uzeeni hivyo jiongeze mapema ila kama mkeo anakutunza wakati huu mtuze yeye na wanao. Kuna wanaume mke akiondoka hata siku mbili tu anachakaa.Ni kweli mkuu, lakini katika upendo huo huo utakayoipa familia yako usijisahau wewe mwemyewe. Bila mali mwanaume utapata shida uzeeni.
Kutokana na mazoea ya malezi yetu ya kiafrika kuna mazoea ambayo yamasababisha watoto waone mama yao anawapenda zaidi kuliko baba.
Mfano mtoto kafanya kosa halafu mama anamwambia subiri baba yako aje nimwambie inamjengea mawazo akilini kwamba baba ni mkatili.
Hii mentality watoto wanakua nayo ndio maana wakifika ukubwani huwa wanam-prefer zaidi mama.
Kwaiyo ipende na ijali familia yako lakini usijisahau wewe mwenyewe, usiwe na matarajio sana kwa watoto mwanaume ni kibunda tu ndicho kitakua security yako nyakati zako za uzee.
Bila kujali mkeo anakunza au hakutunzi, mwanaume usisahau kujiwekea akiba ya mali kwa ajiri ya nyakati zako za uzeeKweli, unaangalia na mazingira. Kama mkeo hakutunzi wakati huu hawezi kukutunza uzeeni hivyo jiongeze mapema ila kama mkeo anakutunza wakati huu mtuze yeye na wanao. Kuna wanaume mke akiondoka hata siku mbili tu anachakaa.
Kandege kazuuuri sanaNimerudi best,.
Kinini hicho umeshika?
Nisaidie nipate namba za Jadda, huyu shangazi anaonekana ni mtamu balaa, lakini amejaa ufeministMimi nipo hapa kwa ajiri ya kuwasemea wanaume wenzangu, kama wewe unataka kuwasemea wanawake wenzako kaanzishe uzi wako, jf ni jukwaa huru muhimu tu usivunje sheria zake.
Wewe ni nani mpaka unipangie cha kuandika humu, ukishaweka uzi hapa jukwaani unakuwa siyo mali yako tena bali ni mali ya jf, ni sheria gani ya jf niliyovunja kwani nimetumia lugha za matusi au nimetoka nje ya madaMimi nipo hapa kwa ajiri ya kuwasemea wanaume wenzangu, kama wewe unataka kuwasemea wanawake wenzako kaanzishe uzi wako, jf ni jukwaa huru muhimu tu usivunje sheria zake.
Siku zote mkishapigwaga kwenye mshono, huwa mnakimbilia kuwaita watu majina ambayo mnadhani yatawauma ili mjifariji masikini, hili nalo ni moja ya matatizo ya akili ambayo yanaisumbua sana hii nchiNisaidie nipate namba za Jadda, huyu shangazi anaonekana ni mtamu balaa, lakini amejaa ufeminist
Naendelea vizuri kipenziKandege kazuuuri sana
Mambo mamii, hope unaendelea vizur kabisa sasa
Safi sana, naona anachanganya mada kwa kuvamia nyuzi za watu zisizohusiana.Mimi nipo hapa kwa ajiri ya kuwasemea wanaume wenzangu, kama wewe unataka kuwasemea wanawake wenzako kaanzishe uzi wako, jf ni jukwaa huru muhimu tu usivunje sheria zake.
Wow🤩,.Lee Jay najivunia wewe rafiki yangu
Ulipotea sana 😁Siku zote mkishapigwaga kwenye mshono, huwa mnakimbilia kuwaita watu majina ambayo mnadhani yatawauma ili mjifariji masikini, hili nalo ni moja ya matatizo ya akili ambayo yanaisumbua sana hii nchi
Ndio tabia yako uyo, anabadilisha context ya topic ili alazimishe hoja zake.Safi sana, naona anachanganya mada kwa kuvamia nyuzi za watu zisizohusiana.
aya, karibu tena uraiani humuNaendelea vizuri kipenzi
Aikooo.😂😂 Changes are real. Naona mtu flani anawekewa Sukari kwenye lips. Somo la jinsi ya kuiomba umesafisha cheti min ake 😂😂Kwangu kujipa kipaumbele ni pamoja na kuiloweka , na ninapo iloweka lazima nipajali ili pazidi kunivutia zaidi, ni katika hali ya kujipenda zaidi mkuu😊😊😊😊😊