Mwanaume jipe kipaumbele wewe mwenyewe

Mwanaume jipe kipaumbele wewe mwenyewe

Jipende mwenyewe, usimpe mwanamke upendo ambao haujajipa wewe mwenyewe.

Wanaume wengi wanaweka pembeni mipango, furaha na amani yao kwa lengo la kumridhisha mwanamke.

Ngoja nikwambie ukweli kuhusu mwanamke. Mwanamke haridhiki, hakuna ambacho utamfanyia kikamtosheleza kiasi cha kutohitaji tena umanyie zaidi ya hapo.

Hili kuwa salama zaidi mbele ya mwanamke ipe kipaumbele furaha yako, ipe kipaumbele amani yako, yape kipaumbele malengo yako. Mwanaume weka misingi na kanuni zako and jilinde usi-fall in love bila kutumia logic.

Hata story yake atakayokuambia iwe ya kusikitisha kiasi gani usiiguse akiba yako, usimuonee huruma, ni mtego huo kaka.

Usimtukuze mwanamke, sio mkombozi wako uyo, ni stranger tu uliekutana nae ukubwani akaamua kujiweka kwako kwa masilahi yake.

I love you, i love you my brother.
Mwanaume unatakiwa ujipendeje ivo hadi usione umuhimu wa kuwa na mahusiano na mwanamke.
Mwishoe upende mwanaume mwenzako muwe mashoga sasa.
 
Ni kweli mkuu, lakini katika upendo huo huo utakayoipa familia yako usijisahau wewe mwemyewe. Bila mali mwanaume utapata shida uzeeni.

Kutokana na mazoea ya malezi yetu ya kiafrika kuna mazoea ambayo yamasababisha watoto waone mama yao anawapenda zaidi kuliko baba.

Mfano mtoto kafanya kosa halafu mama anamwambia subiri baba yako aje nimwambie inamjengea mawazo akilini kwamba baba ni mkatili.

Hii mentality watoto wanakua nayo ndio maana wakifika ukubwani huwa wanam-prefer zaidi mama.

Kwaiyo ipende na ijali familia yako lakini usijisahau wewe mwenyewe, usiwe na matarajio sana kwa watoto mwanaume ni kibunda tu ndicho kitakua security yako nyakati zako za uzee.
Kweli, unaangalia na mazingira. Kama mkeo hakutunzi wakati huu hawezi kukutunza uzeeni hivyo jiongeze mapema ila kama mkeo anakutunza wakati huu mtuze yeye na wanao. Kuna wanaume mke akiondoka hata siku mbili tu anachakaa.
 
Kweli, unaangalia na mazingira. Kama mkeo hakutunzi wakati huu hawezi kukutunza uzeeni hivyo jiongeze mapema ila kama mkeo anakutunza wakati huu mtuze yeye na wanao. Kuna wanaume mke akiondoka hata siku mbili tu anachakaa.
Bila kujali mkeo anakunza au hakutunzi, mwanaume usisahau kujiwekea akiba ya mali kwa ajiri ya nyakati zako za uzee
 
Mimi nipo hapa kwa ajiri ya kuwasemea wanaume wenzangu, kama wewe unataka kuwasemea wanawake wenzako kaanzishe uzi wako, jf ni jukwaa huru muhimu tu usivunje sheria zake.
Nisaidie nipate namba za Jadda, huyu shangazi anaonekana ni mtamu balaa, lakini amejaa ufeminist
 
Mimi nipo hapa kwa ajiri ya kuwasemea wanaume wenzangu, kama wewe unataka kuwasemea wanawake wenzako kaanzishe uzi wako, jf ni jukwaa huru muhimu tu usivunje sheria zake.
Wewe ni nani mpaka unipangie cha kuandika humu, ukishaweka uzi hapa jukwaani unakuwa siyo mali yako tena bali ni mali ya jf, ni sheria gani ya jf niliyovunja kwani nimetumia lugha za matusi au nimetoka nje ya mada
 
Ujumbe kutoka kwa 50 cent.

"When a woman is broke , 99% of men will do everything to change her status . When a man is broke , 99% of women will walk out on him , dear young kings , be safe out there . Don’t go broke “

“There are women who will be with you even if you are broke , have no dollars or a home . That woman is your mother or sister . Most women these days walk out of your life the moment you got nothing"
 
Kwangu kujipa kipaumbele ni pamoja na kuiloweka , na ninapo iloweka lazima nipajali ili pazidi kunivutia zaidi, ni katika hali ya kujipenda zaidi mkuu😊😊😊😊😊
Aikooo.😂😂 Changes are real. Naona mtu flani anawekewa Sukari kwenye lips. Somo la jinsi ya kuiomba umesafisha cheti min ake 😂😂
 
Back
Top Bottom