Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Haha nipo mkuuUlipotea sana 😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha nipo mkuuUlipotea sana 😁
mkuu kwani hamuwezo kuja diliana hoja, pasipo kumkashifu mtu mwingine??.Subiri nikupe like yako kabla dada MSAGAJI Jadda hajaja kuharibu huu uzi Kwa comments zake mbaya zisizo na maadili,duniani hadi akhera
Nilikumisi sana mkuuHaha nipo mkuu
Kwa kipindi kirefu mifumo ya kisheria na kijamii imekua ikimnyonya mwanaume, wanawake wameutumia huo mwanya kimkakati kujinufaisha wao binafsi na wamenogewa mpaka wamejisahau na kuanza kucheza rafu za waziwazi.Mbona mahusiano siku hizi kama VITA
Anajikutaga feminist afu ukute ni masikini tu.Dah kwann nyuzi nyingi mnam tag huyo Jadda, ni star humu au?
Uchinjwe xmas 😹😹Kwangu kujipa kipaumbele ni pamoja na kuiloweka , na ninapo iloweka lazima nipajali ili pazidi kunivutia zaidi, ni katika hali ya kujipenda zaidi mkuu😊😊😊😊😊
Hahahahaha vijana wanasusa eti😁😁😁Uchinjwe xmas 😹😹
Wapumbavu achana nao waendelee kujazana ujinga.!Hahahahaha vijana wanasusa eti😁😁😁
Hapo nilipo bold sikubaliani na tafsiri yako, hapo ndiyo mwanamke anaonyesha mwenye mamlaka ndani ya nyumba ni mwanaume. Baba ndiyo kichwa cha familia.Mfano mtoto kafanya kosa halafu mama anamwambia subiri baba yako aje nimwambie inamjengea mawazo akilini kwamba baba ni mkatili.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahSasa sehemu mojawapo ya furaha ya mwanaume si mwanamke??
Hivi wewe kwa akili zako kusingekuwepo kiumbe mwanamke unafikiri wanaume mngetafuta pesa??
Sisi ndio tunafanya hamtulii mnataka attention zetu.!
Wanaume unawaongelea wewe ni simps.Sasa sehemu mojawapo ya furaha ya mwanaume si mwanamke??
Hivi wewe kwa akili zako kusingekuwepo kiumbe mwanamke unafikiri wanaume mngetafuta pesa??
Sisi ndio tunafanya hamtulii mnataka attention zetu.!
ni kweli ilo ni lengo la mwanamke lakini je akili ya mtoto inatafsiri nini?Hapo nilipo bold sikubaliani na tafsiri yako, hapo ndiyo mwanamke anaonyesha mwenye mamlaka ndani ya nyumba ni mwanaume. Baba ndiyo kichwa cha familia.
Baba ndiyo mtu wa mwisho ktk maamuzi.ni kweli ilo ni lengo la mwanamke lakini je akili ya mtoto inatafsiri nini?
Naona hatuelewaniBaba ndiyo mtu wa mwisho ktk maamuzi.
Hili ndio jukwaa lake mzee baba, kama mada za mlengo huo zinakuchodha wewe skip tu, wala haujalazimishwa kusoma.Hivi nyinyi wanaume wa kibongo, naona mmeshindwa parefu na wanawake
Kwanini kila siku ni mada za mwanamke hivi marq vile?
Mwanaume halisi anaejitambua huwa hana muda wa kumjadili mwanamke, bali anamuheshimu na kujielewa na kuishi nae kutokana na makubaliano yao.
Nyinyi mbuzi msiooa ndio mnachachatuka kama mnaenda kuishi jini siku mkioa
Utasema sasa na umeamua kujifanya motivation speaker.!Wanaume unawaongelea wewe ni simps.
Mimi binafsi haijawai na haitakuja kutokea mwanamke kuwa motisha ya mimi kutafuta hela.
Topic imekuzidi akili, ni bora ukakaa kimya kulinda heshima yako(kama unayo iyo heshima)Utasema sasa na umeamua kujifanya motivation speaker.!
Nyie mnaopiga kelele huku ni wahanga wa kupigwa matukio