OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Katika ya wokovu Baba wa kiroho ni mtu anayekuongoza (Guiding) kwenye njia sahihi kiimani kuelekea hatima yako (Purpose) kupitia maelekezo kamili kutoka kwa Mungu. Najua unajuaBaba wa kiroho ndio mtu gani huyo?
Sijui, ndio maana nimeuliza, kwahiyo hii ni Kwa Walokole?Katika ya wokovu Baba wa kiroho ni mtu anayekuongoza (Guiding) kwenye njia sahihi kiimani kuelekea hatima yako (Purpose) kupitia maelekezo kamili kutoka kwa Mungu. Najua unajua
Ndiyo, sijui kuhusu RC na DSASijui, ndio maana nimeuliza, kwahiyo hii ni Kwa Walokole?
Ndugu kushika yote yahitaji moyo. Maana muda mwingi wanaume tunakuwa kwenye kutafuta ukirudi unakuwa umechoka hata muda wa kusikiliza story za mkeo unakosa unaishia kulala katikati ya story zake.kwa wakristo wanaume wengi hawashiki dini ndo maana hao mababa wa kiroho wanazingatiwa, na wanawake wanashika dini haswa, mwanaume wa kawaida hawezi kuendana na hayo mapigo.
Huo ndo ukweliNilitaka kucomment kabla ya kusoma ila baada ya kusoma nimepata wazo zuri. Kiukweli awa wababa wa kiroho sio poa sasa hivi na wanawake wanavyomezeshwa ndivyo wanavyokula, ni muhimu sana kuwa na msimamo wa kiimani.