Mwanaume kabla haujaoa, tembelea kwanza Newala. Mwenzenu Tayari nipo Newala toka juzi usiku wa manane

Mwanaume kabla haujaoa, tembelea kwanza Newala. Mwenzenu Tayari nipo Newala toka juzi usiku wa manane

Mwaka 90 kuna msukuma mmoja alikuja Dar akanywa soda kwa mara ya kwanza alipomaliza kunywa soda akamwambia shemeji yake ( mume wa dada ake ) " shemeji naomba mbegu ya hizi soda nikapande kijijini shinyanga"
Kulikuwa na ulazima wo wote wa kutuhusisha Wasukuma kwenye uzinzi wako mkuu? 😁😁😁
 
Tendo ni kitu cha ziada kwenye ndoa Mkuu, acha kuwa na mawazo ya ngono tu. Katika haya maisha If you fall in love with the right person kila kitu kitakuwa ni poa kabisa. Usipende kwa ajili ya mwonekano pekee. Mwonekano baada ya muda hupotea.
 
Fall in love? Tell me ur joking please.

Ila all in all wanawake wakimakonde wazuri
 
Kwani si mfanye wenyewe jamani? Kwanini kutaka kutuharibia wenzenu?
Sijapenda.
 
hongera zetu mazee tunaozidi kusherehekea krismasi kwa njia safi kabisa..juzi kazi nimetinga gesti flani apa jijini na kupiga show la kipalestinaa
View attachment 2850739
COUPLE OF THE YEAR. Wamependeza aisee, namtamania huyo jomba lazima kuna kitu cha tofauti kakikuta kwa huyo manzi sio bure.
Wahuni sio watu watamnyemelea kimya limya kutaka kujua mautundu ya kibinti hicho.
 
Back
Top Bottom