mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 23,965
- 131,949
Mbaki huko Dar.Natamani siku moja nifikie songea...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbaki huko Dar.Natamani siku moja nifikie songea...
Kuna NiniNikitoka hapa msibani kwa marehemu,Abiola safari Newala.
Kulikuwa na ulazima wo wote wa kutuhusisha Wasukuma kwenye uzinzi wako mkuu? 😁😁😁Mwaka 90 kuna msukuma mmoja alikuja Dar akanywa soda kwa mara ya kwanza alipomaliza kunywa soda akamwambia shemeji yake ( mume wa dada ake ) " shemeji naomba mbegu ya hizi soda nikapande kijijini shinyanga"
Fall in love? Tell me ur joking please.Tendo ni kitu cha ziada kwenye ndoa Mkuu, acha kuwa na mawazo ya ngono tu. Katika haya maisha If you fall in love with the right person kila kitu kitakuwa ni poa kabisa. Usipende kwa ajili ya mwonekano pekee. Mwonekano baada ya muda hupotea.
We kichwa cha huu uzi kinasemaje ?Fall in love? Tell me ur joking please.
Ila all in all wamakonde wazuri
COUPLE OF THE YEAR. Wamependeza aisee, namtamania huyo jomba lazima kuna kitu cha tofauti kakikuta kwa huyo manzi sio bure.hongera zetu mazee tunaozidi kusherehekea krismasi kwa njia safi kabisa..juzi kazi nimetinga gesti flani apa jijini na kupiga show la kipalestinaa
View attachment 2850739