Mwanaume kama hakupi hela, huyo hakupendi - Girl Code no 1 imeshuka

Kichwa kiki kosa akili sehemu za siri lazima zishambuliwe na kichwa cha chini kwa nyukilia kali
 
Pesa me mbona natoa tena sana tu na umaarufu ukitaka, sikupingi ila hiyo ni akili ya watoto wa masikini. Tafuta hela hata unapokua unakamiwa unadinywa kwa heshima ukiendekeza njaa ndo hivo wahuni tunafyonza na kisusia🤣
Aisee
Naona jiwe limegonga panapo,
pole mwanaume, ila toa hela kama umependa
pesa ni makaratasi
 
Lengo lako nisimamishe OMBO kwenye uzi wa wanawake🤣

Kwanini bibi yako nisimpe pesa lakini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…