Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,994
- 4,446
Mwingne sio kuruhus aingie ndani anampa Hadi nguo zako afueKitu kinachonikera ni kuruhusu dada wa kazi aingie chumbani kwenu.
Kuna wanawake wapo busy sana kutafuta hela inapelekea ulazima wa nguo kufuliwa na dada wa kazi ila kumpa hadi boxer hapo ndo kuvuka mipaka.Mwingne sio kuruhus aingie ndani anampa Hadi nguo zako afue
sasa mumama every day akiombwa mbususu jibu ni ama amechoka, ana umwa au hajiskii. Na siku akiachia mbususu ni karaha tupu, mara ooh maliza haraka nimechoka, mara ooh maliza haraka nina usingizi, na ukizidisha dakika mara hoo umeshatoka kunyandua michepuko yako huko unaniletea utia mim, na karaha nyingine kadha wa kadha,Wanawake kwa hasili ni wavivu hasa hiki kizazi Cha kuanzia miaka ya 1990_2000
Most ya vitu wanavyovifanya ni vya kuiga tu yeye akishaona rafiki yake kapelekwa Serengeti National park naye analazmisha apelekwe ili mradi tu apate picha na video za kupost status na tick talk na vijembe juu
Ili suala la kuwa na beki tatu (house girl) ndani ya nyumba aisee ndg zangu wanaume kama hakuna ulazima husiruhusu Hilo suala kbc
Uwepo wa beki tatu ndani ya nyumba umewafanya wanawake wengi kusahau majukumu yao muhimu katika familia
Kama vile
_Kulithisha Mila na desturi nzuri kwa watoto wao
_kudhibiti tabia za watoto wao
_kuwahudumia waume zao ipasavyo nk
Unakuta familia imebalikiwa kupata tu hela ya kubadilisha mboga kwa siku et mke Tyr anaanza kugomba akitaka kuleta msaidizi wa kazi
Aisee kaka yangu mke wa aina usipomdhibiti atakuletea kizazi Cha ajabu ajabu make mke wa aina hiyo kutelekeza majukumu yake kwa beki tatu haoni shida kabisa.
Bila ya shaka mwana Chadema anakula mzigo wa mkeo. Kwani ccm hawakupi Viagra au Vumbi la Kongo huko?.Je,
huoni kwamba huo uvivu unachangia pakubwa mzee wa familia kuanza kumuwinda na kumnyatia beki3 kwa udi na uvumba, na kufanya suala la kunyandua mabeki tatu kua haliepukiki?
DahWanawake kwa hasili ni wavivu hasa hiki kizazi Cha kuanzia miaka ya 1990_2000
Most ya vitu wanavyovifanya ni vya kuiga tu yeye akishaona rafiki yake kapelekwa Serengeti National park naye analazmisha apelekwe ili mradi tu apate picha na video za kupost status na tick talk na vijembe juu
Ili suala la kuwa na beki tatu (house girl) ndani ya nyumba aisee ndg zangu wanaume kama hakuna ulazima husiruhusu Hilo suala kbc
Uwepo wa beki tatu ndani ya nyumba umewafanya wanawake wengi kusahau majukumu yao muhimu katika familia
Kama vile
_Kulithisha Mila na desturi nzuri kwa watoto wao
_kudhibiti tabia za watoto wao
_kuwahudumia waume zao ipasavyo nk
Unakuta familia imebalikiwa kupata tu hela ya kubadilisha mboga kwa siku et mke Tyr anaanza kugomba akitaka kuleta msaidizi wa kazi
Aisee kaka yangu mke wa aina usipomdhibiti atakuletea kizazi Cha ajabu ajabu make mke wa aina hiyo kutelekeza majukumu yake kwa beki tatu haoni shida kabisa.
Gentleman,Bila ya shaka mwana Chadema anakula mzigo wa mkeo. Kwani ccm hawakupi Viagra au Vumbi la Kongo huko?.
Nguo zake au chupi hata zetuMwingne sio kuruhus aingie ndani anampa Hadi nguo zako afue
Wewe Unataka kuwafundisha madogo kitu kitawaletea shida. Housegirl lazima aangaliwe kama mtoto katika nyumba. Je, binti yenu hawezi kufanya Usafi katika chumba cha wazazi?Kuna wanawake wapo busy sana kutafuta hela inapelekea ulazima wa nguo kufuliwa na dada wa kazi ila kumpa hadi boxer hapo ndo kuvuka mipaka.
Ila kuruhusu dada wa kazi kuingia chumbani kwa kigezo cha kusafisha choo na chumba ni ujinga wa hali ya juu kazi ambayo unaweza kuifanya mwenyewe hata usiku wa manane.
Mbona Siku hizi kuna mitaala ya hizi kaziHawa wasaidizi wanahitajika sana, ingepasa hii kazi yao ifanywe kuwa stadi ya kusomea kabisa kwa ngazi ya cheti, ili wafunzwe ustaarabu maalum.
Lakini tukifanya hivi ni wachache sana wataweza kuwamudu. Kuwalipa 50k haitowezekana tena.
HUSIMFANYIE NDIO NINI?Wanawake kwa hasili ni wavivu hasa hiki kizazi Cha kuanzia miaka ya 1990_2000