Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,842
- 10,164
Haaaaaaaaaaaah 😃 😀 😄 😁 🤣Tatizo sio mwanamke tu hata mwanaume ukiwa huna misimamo ndani ya Nyumba yako nawe utaishia kuwa beki tatu kwa mkeo pia.
Haaaaaaaaaaaah 😃 😀 😄 😁 🤣Tatizo sio mwanamke tu hata mwanaume ukiwa huna misimamo ndani ya Nyumba yako nawe utaishia kuwa beki tatu kwa mkeo pia.
Unajua hawa Watoto, wanachukulia hisia kama reality.Umemaliza bro
Muda huamua mambo mengi.....Unajua hawa Watoto, wanachukulia hisia kama reality.
Ndiyo maana, huwezi kumuuliza mjusi walipowindia wawindaji wenzio. Kwa vile mjusi hajawahi kuwinda. Hapa JF mijusi inahubiri kuhusu mawindo. Hizo ni wishful thinking tu.Muda huamua mambo mengi.....
Ukiwa mwenyewe mwenyewe unaona kumruhusu dada aingie room sio, ukitoka chumba unafunga na funguo hata mimi ilikuaga hivyo enzi hizo
Sasa baadae namuacha na kichanga changu na nakikuta salama mikononi mwake....huyu sio mtu wa kumchukulia poa tena. Muda ushaamua.
Toeni ushauri na Mahondaw wako kwa vijana
Vibaya hivoooooo!!!