Mwanaume kama sio lazima usimfanyie hiki kitu Mke wako

Mwanaume kama sio lazima usimfanyie hiki kitu Mke wako

Kuna wanawake wapo busy sana kutafuta hela inapelekea ulazima wa nguo kufuliwa na dada wa kazi ila kumpa hadi boxer hapo ndo kuvuka mipaka.

Ila kuruhusu dada wa kazi kuingia chumbani kwa kigezo cha kusafisha choo na chumba ni ujinga wa hali ya juu kazi ambayo unaweza kuifanya mwenyewe hata usiku wa manane.
Ushasema tupo busy sana sasa muda wa kufanya usafi twapataje jamani 😃.....yani mi kuna muda hadi nawaita mabinti wananitandikia kabisa achana na kufanya usafi tu.
 
Chumbani kwangu siruhusu mtu tofauti na watoto wangu hiyo ni sheria nimeiweka.
Hayo ni mawazo yako kutokana na umri wako! Mtu kama Evelyn Salt anaongea Kutokana na uzoefu maana wewe huna binti anayeweza kufagia chumba, ila eve anao. Wewe bado asubuhi katika ndoa, wenzako ni saa 10 jioni. Kuna wishful thinking na reality ni vitu viwili tofauti
 
Wanawake kwa hasili ni wavivu hasa hiki kizazi Cha kuanzia miaka ya 1990_2000

Most ya vitu wanavyovifanya ni vya kuiga tu yeye akishaona rafiki yake kapelekwa Serengeti National park naye analazmisha apelekwe ili mradi tu apate picha na video za kupost status na tick talk na vijembe juu

Ili suala la kuwa na beki tatu (house girl) ndani ya nyumba aisee ndg zangu wanaume kama hakuna ulazima husiruhusu Hilo suala kbc

Uwepo wa beki tatu ndani ya nyumba umewafanya wanawake wengi kusahau majukumu yao muhimu katika familia
Kama vile
_Kulithisha Mila na desturi nzuri kwa watoto wao
_kudhibiti tabia za watoto wao
_kuwahudumia waume zao ipasavyo nk

Unakuta familia imebalikiwa kupata tu hela ya kubadilisha mboga kwa siku et mke Tyr anaanza kugomba akitaka kuleta msaidizi wa kazi

Aisee kaka yangu mke wa aina usipomdhibiti atakuletea kizazi Cha ajabu ajabu make mke wa aina hiyo kutelekeza majukumu yake kwa beki tatu haoni shida kabisa.
Hayo ni maisha ya kimasikini...
Mwanaume mwenye hela hahitaji kupelekewa maji bafuni na mke, kuna mabomba ya maji bafuni..
Na kama unataka kula msosi mtamu wa mke wako, lazima awepo beki tatu wa kupiga deki, kufua nguo na kusafisha nyumba, mke wako sio punda wako, labda kama ukiwa masikini?
Na ukiwa masikini, kama ningekuwa Raisi wa dunia, nisingewaruhusu kuoa na kutombatomba na kuzaa zaa watoto masikini kama baba mwenyewe wanaokuja kuwa wauza mifuko, vibaka, na majambazi.....
 
Hayo ni mawazo yako kutokana na umri wako! Mtu kama Evelyn Salt anaongea Kutokana na uzoefu maana wewe huna binti anayeweza kufagia chumba, ila eve anao. Wewe bado asubuhi katika ndoa, wenzako ni saa 10 jioni. Kuna wishful thinking na reality ni vitu viwili tofauti
Unasoma kwa makengeza! Sinimekwambia hapo watoto wangu wanaruhusiwa kuingia chumbani kwangu au
 
Unasoma kwa makengeza! Sinimekwambia hapo watoto wangu wanaruhusiwa kuingia chumbani kwangu au
Binti wa kazi nae mfanye au ishi nae kama unavyoishi na watoto wako wa kuwazaa hutojuta na kutamani aondoke siku moja
 
Binti wa kazi nae mfanye au ishi nae kama unavyoishi na watoto wako wa kuwazaa hutojuta na kutamani aondoke siku moja
Naishi nae vizuri ila chumbani kwangu siruhusu mtu kuingia tofauti na watoto wangu.
Sio tu mfanyakazi ila yeyote yule labda siku itokee dharula kubwa na bado sijaiona.

Kuna siku mtoto wangu aliingia chumbani, watoto wa wifi yangu wakataka nao waingie kumfata niliwapiga stop nikamtoa mtoto akae nao sebleni.
 
Unasoma kwa makengeza! Sinimekwambia hapo watoto wangu wanaruhusiwa kuingia chumbani kwangu au
Oh! Sasa nimekuwa na makengeza! Mjadala ulikuwa ni kuruhusu Beki tatu kufanya Usafi wa chumba cha Baba na Mama (kwa wenye ndoa). Hoja yangu ni kuwa, House girl lazima atazamwe kama binti wa hiyo familia. Kama hiyo ni sawa, hivyo kama wenye mabinti wakubwa wanaruhusu mabinti zao kufanya Usafi katika vyumba vyao, Kwanini iwe ni jambo la ajabu kwa beki tatu kufanya Usafi chumba cha wanandoa.
 
Sasa nimekuelewa!
Mimi sipo huru akiingia chumbani kwangu, dada wa kazi ni mwanafamilia lakini sio sawa na mtoto wangu wa damu katika kutunza siri ukizingatia chumba kinabeba privacy nyingi.
Ni suala la mipaka na makubaliano.
 
Naishi nae vizuri ila chumbani kwangu siruhusu mtu kuingia tofauti na watoto wangu.
Sio tu mfanyakazi ila yeyote yule labda siku itokee dharula kubwa na bado sijaiona.

Kuna siku mtoto wangu aliingia chumbani, watoto wa wifi yangu wakataka nao waingie kumfata niliwapiga stop nikamtoa mtoto akae nao sebleni.
Sawa lakini unafikiri anahisi nini akiona watoto wako wa kuwazaa unawaruhusu kuingia na yeye unamzuia kama binadam
 
Sawa lakini unafikiri anahisi nini akiona watoto wako wa kuwazaa unawaruhusu kuingia na yeye unamzuia kama binadam
Ni ngumu kumfurahisha mwanadamu, hata ofisini huwa kuna sheria na mipaka ya kazi.
Upande mwingine inamfurahisha sababu inampunguzia kazi ya kusafisha chumba, choo changu na kunifulia
 
Sawa lakini unafikiri anahisi nini akiona watoto wako wa kuwazaa unawaruhusu kuingia na yeye unamzuia kama binadam
Watoto wapo sensitive sana! Pamoja na kuwa hatamki wazi wazi, suala ni kujihami. Kukwepa sensitivity ya mabinti wa kazi; wenzako tunaajiri housemaids. Uzuri huwezi kuishi naye, ila huwezi kumlipa chini ya kima cha chini cha mshahara maana wengi wana wajukuu.

Kwa upande wangu, sijawahi kuona mke wangu akisafisha chumba chetu tangu amenizidi maarifa tukaoana. Kwanza muda huo atautoa wapi? Hata kutandika kitanda ni siku ambayo roho mtakatifu amemshukia. Sisi wa saa 12, tumeyaona mengi
 
Hayo ni mawazo yako kutokana na umri wako! Mtu kama Evelyn Salt anaongea Kutokana na uzoefu maana wewe huna binti anayeweza kufagia chumba, ila eve anao. Wewe bado asubuhi katika ndoa, wenzako ni saa 10 jioni. Kuna wishful thinking na reality ni vitu viwili tofauti
Umemaliza bro
 
sasa mumama every day akiombwa mbususu jibu ni ama amechoka, ana umwa au hajiskii. Na siku akiachia mbususu ni karaha tupu, mara ooh maliza haraka nimechoka, mara ooh maliza haraka nina usingizi, na ukizidisha dakika mara hoo umeshatoka kunyandua michepuko yako huko unaniletea utia mim, na karaha nyingine kadha wa kadha,

Je,
huoni kwamba huo uvivu unachangia pakubwa mzee wa familia kuanza kumuwinda na kumnyatia beki3 kwa udi na uvumba, na kufanya suala la kunyandua mabeki tatu kua haliepukiki? :BASED:
Wako na masharti hadi unaona kero kupiga mzigo😀😀😀😀😀
 
Wako na masharti hadi unaona kero kupiga mzigo😀😀😀😀😀
yaani masharti na vigezo ili upewe mbususu utadhani unaomba mkopo benki, na ni mke wako kabisa, dah?

beki tatu anaepukaje kunyanduliwa sasa kwa mfano kwa hali kama hiyo?🐒
 
yaani masharti na vigezo ili upewe mbususu utadhani unaomba mkopo benki, na ni mke wako kabisa, dah?

beki tatu anaepukaje kunyanduliwa sasa kwa mfano kwa hali kama hiyo?🐒
Ukiona hivyo kulinda bran hupigii ndani..unacheza mbali..hawa beki tatu waliomaliza form 4..six..wamoto..
 
Back
Top Bottom