Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
Ushasema tupo busy sana sasa muda wa kufanya usafi twapataje jamani π.....yani mi kuna muda hadi nawaita mabinti wananitandikia kabisa achana na kufanya usafi tu.Kuna wanawake wapo busy sana kutafuta hela inapelekea ulazima wa nguo kufuliwa na dada wa kazi ila kumpa hadi boxer hapo ndo kuvuka mipaka.
Ila kuruhusu dada wa kazi kuingia chumbani kwa kigezo cha kusafisha choo na chumba ni ujinga wa hali ya juu kazi ambayo unaweza kuifanya mwenyewe hata usiku wa manane.
Chumbani kwangu siruhusu mtu tofauti na watoto wangu hiyo ni sheria nimeiweka.Wewe Unataka kuwafundisha madogo kitu kitawaletea shida. Housegirl lazima aangaliwe kama mtoto katika nyumba. Je, binti yenu hawezi kufanya Usafi katika chumba cha wazazi?
Kama upo huru ni sawaUshasema tupo busy sana sasa muda wa kufanya usafi twapataje jamani π.....yani mi kuna muda hadi nawaita mabinti wananitandikia kabisa achana na kufanya usafi tu.
Hayo ni mawazo yako kutokana na umri wako! Mtu kama Evelyn Salt anaongea Kutokana na uzoefu maana wewe huna binti anayeweza kufagia chumba, ila eve anao. Wewe bado asubuhi katika ndoa, wenzako ni saa 10 jioni. Kuna wishful thinking na reality ni vitu viwili tofautiChumbani kwangu siruhusu mtu tofauti na watoto wangu hiyo ni sheria nimeiweka.
Hayo ni maisha ya kimasikini...Wanawake kwa hasili ni wavivu hasa hiki kizazi Cha kuanzia miaka ya 1990_2000
Most ya vitu wanavyovifanya ni vya kuiga tu yeye akishaona rafiki yake kapelekwa Serengeti National park naye analazmisha apelekwe ili mradi tu apate picha na video za kupost status na tick talk na vijembe juu
Ili suala la kuwa na beki tatu (house girl) ndani ya nyumba aisee ndg zangu wanaume kama hakuna ulazima husiruhusu Hilo suala kbc
Uwepo wa beki tatu ndani ya nyumba umewafanya wanawake wengi kusahau majukumu yao muhimu katika familia
Kama vile
_Kulithisha Mila na desturi nzuri kwa watoto wao
_kudhibiti tabia za watoto wao
_kuwahudumia waume zao ipasavyo nk
Unakuta familia imebalikiwa kupata tu hela ya kubadilisha mboga kwa siku et mke Tyr anaanza kugomba akitaka kuleta msaidizi wa kazi
Aisee kaka yangu mke wa aina usipomdhibiti atakuletea kizazi Cha ajabu ajabu make mke wa aina hiyo kutelekeza majukumu yake kwa beki tatu haoni shida kabisa.
Unasoma kwa makengeza! Sinimekwambia hapo watoto wangu wanaruhusiwa kuingia chumbani kwangu auHayo ni mawazo yako kutokana na umri wako! Mtu kama Evelyn Salt anaongea Kutokana na uzoefu maana wewe huna binti anayeweza kufagia chumba, ila eve anao. Wewe bado asubuhi katika ndoa, wenzako ni saa 10 jioni. Kuna wishful thinking na reality ni vitu viwili tofauti
Binti wa kazi nae mfanye au ishi nae kama unavyoishi na watoto wako wa kuwazaa hutojuta na kutamani aondoke siku mojaUnasoma kwa makengeza! Sinimekwambia hapo watoto wangu wanaruhusiwa kuingia chumbani kwangu au
Naishi nae vizuri ila chumbani kwangu siruhusu mtu kuingia tofauti na watoto wangu.Binti wa kazi nae mfanye au ishi nae kama unavyoishi na watoto wako wa kuwazaa hutojuta na kutamani aondoke siku moja
Oh! Sasa nimekuwa na makengeza! Mjadala ulikuwa ni kuruhusu Beki tatu kufanya Usafi wa chumba cha Baba na Mama (kwa wenye ndoa). Hoja yangu ni kuwa, House girl lazima atazamwe kama binti wa hiyo familia. Kama hiyo ni sawa, hivyo kama wenye mabinti wakubwa wanaruhusu mabinti zao kufanya Usafi katika vyumba vyao, Kwanini iwe ni jambo la ajabu kwa beki tatu kufanya Usafi chumba cha wanandoa.Unasoma kwa makengeza! Sinimekwambia hapo watoto wangu wanaruhusiwa kuingia chumbani kwangu au
Sasa nimekuelewa!Oh! Sasa nimekuwa na makengeza! Mjadala ulikuwa ni kuruhusu Beki tatu kufanya Usafi wa chumba cha Baba na Mama (kwa wenye ndoa). Hoja yangu ni kuwa, House girl lazima atazamwe kama binti wa hiyo familia. Kama hiyo ni sawa, hivyo kama wenye mabinti wakubwa wanaruhusu mabinti zao kufanya Usafi katika vyumba vyao, Kwanini iwe ni jambo la ajabu kwa beki tatu kufanya Usafi chumba cha wanandoa.
Sawa lakini unafikiri anahisi nini akiona watoto wako wa kuwazaa unawaruhusu kuingia na yeye unamzuia kama binadamNaishi nae vizuri ila chumbani kwangu siruhusu mtu kuingia tofauti na watoto wangu.
Sio tu mfanyakazi ila yeyote yule labda siku itokee dharula kubwa na bado sijaiona.
Kuna siku mtoto wangu aliingia chumbani, watoto wa wifi yangu wakataka nao waingie kumfata niliwapiga stop nikamtoa mtoto akae nao sebleni.
Ni ngumu kumfurahisha mwanadamu, hata ofisini huwa kuna sheria na mipaka ya kazi.Sawa lakini unafikiri anahisi nini akiona watoto wako wa kuwazaa unawaruhusu kuingia na yeye unamzuia kama binadam
Watoto wapo sensitive sana! Pamoja na kuwa hatamki wazi wazi, suala ni kujihami. Kukwepa sensitivity ya mabinti wa kazi; wenzako tunaajiri housemaids. Uzuri huwezi kuishi naye, ila huwezi kumlipa chini ya kima cha chini cha mshahara maana wengi wana wajukuu.Sawa lakini unafikiri anahisi nini akiona watoto wako wa kuwazaa unawaruhusu kuingia na yeye unamzuia kama binadam
Huyu ni muhaya wa huko Bukoba vijijini,matumizi sahihi ya irabu A na herufi H huwa ni kipengele sana kwaoKwa Mwandiko huu,bila shaka wewe ni muha wa Burundi.
Umemaliza broHayo ni mawazo yako kutokana na umri wako! Mtu kama Evelyn Salt anaongea Kutokana na uzoefu maana wewe huna binti anayeweza kufagia chumba, ila eve anao. Wewe bado asubuhi katika ndoa, wenzako ni saa 10 jioni. Kuna wishful thinking na reality ni vitu viwili tofauti
Wako na masharti hadi unaona kero kupiga mzigoπππππsasa mumama every day akiombwa mbususu jibu ni ama amechoka, ana umwa au hajiskii. Na siku akiachia mbususu ni karaha tupu, mara ooh maliza haraka nimechoka, mara ooh maliza haraka nina usingizi, na ukizidisha dakika mara hoo umeshatoka kunyandua michepuko yako huko unaniletea utia mim, na karaha nyingine kadha wa kadha,
Je,
huoni kwamba huo uvivu unachangia pakubwa mzee wa familia kuanza kumuwinda na kumnyatia beki3 kwa udi na uvumba, na kufanya suala la kunyandua mabeki tatu kua haliepukiki?
yaani masharti na vigezo ili upewe mbususu utadhani unaomba mkopo benki, na ni mke wako kabisa, dah?Wako na masharti hadi unaona kero kupiga mzigoπππππ
Ukiona hivyo kulinda bran hupigii ndani..unacheza mbali..hawa beki tatu waliomaliza form 4..six..wamoto..yaani masharti na vigezo ili upewe mbususu utadhani unaomba mkopo benki, na ni mke wako kabisa, dah?
beki tatu anaepukaje kunyanduliwa sasa kwa mfano kwa hali kama hiyo?π