Mwanaume kamili huwezi Kimbia Kuoa kutokana na Changamoto za Ndoa

Mwanaume kamili huwezi Kimbia Kuoa kutokana na Changamoto za Ndoa

Tunyuzi twa kuwasema wasio taka ndoa tumekua twingi, fun enough ni kwamba tote tunaandikwa kwa kupanic. Kama wew unataka ndoa bs hayo ni maamuzi yako wew, na asietaka ndoa ni maamuzi yake yeye regardless uzito wa sababu yake.

Kila mmoja aishi yake anayo ya admire to the fullest. Hakuna sheria inayo lazimisha kuoa. Na kituko ni kwamba mnaleta nyuzi za kukejeli na kudhihaki maamuzi yao badala ya kuwashauri na kuwapa reasonable facts za kwa nin ni vizur na muhimu kwao kuoa. Msijifanye mna enjoy sana huko ndoani.
Ukiona unaitiwa fursa tambua ww ndo fursa
 
Za kuambiwa changanya na za kwako...
Tumeambiwa tufunge ndoa kwa mda mrefu ila tumechanganya na za kwetu tukaona ndoa ni utapeli. Ila ww utaishi maisha marefu mno haupendagi kukaza fuvu , upo simple sna hongera.
 
Wanawake mwanzo anakuja na biti za nitakuvumilia ,hata ugali dagaa nitakula ,baadae anakugeuka anaanza kukuona hutafuti ,anaanza kukulinganisha na wanaume wenye pesa ,anakuacha ...
Mapenzi na umasikini havikai pamoja
 
Back
Top Bottom