Tunyuzi twa kuwasema wasio taka ndoa tumekua twingi, fun enough ni kwamba tote tunaandikwa kwa kupanic. Kama wew unataka ndoa bs hayo ni maamuzi yako wew, na asietaka ndoa ni maamuzi yake yeye regardless uzito wa sababu yake.
Kila mmoja aishi yake anayo ya admire to the fullest. Hakuna sheria inayo lazimisha kuoa. Na kituko ni kwamba mnaleta nyuzi za kukejeli na kudhihaki maamuzi yao badala ya kuwashauri na kuwapa reasonable facts za kwa nin ni vizur na muhimu kwao kuoa. Msijifanye mna enjoy sana huko ndoani.