Mwanaume kua na Mwanamke Mzuri sana ni Changamoto

Una stress mwanetu, ila zingatia alama za uandishi kidogo nikate pumzi😤
Sina stress ila unajua nini ukiangalia maandishi utakutana na koma, nukta, nukta mkato, funga fungua semi, mabano, nk sasa alama zipi ambazo hujaziona mpaka umekata pumzi?
 
Sina stress ila unajua nini ukiangalia maandishi utakutana na koma, nukta, nukta mkato, funga fungua semi, mabano, nk sasa alama zipi ambazo hujaziona mpaka umekata pumzi?
Sijaona alama zozote mpaka mwisho wa sentensi tu, unataka tuteseke kama wewe ulivyoamka alfajiri kwa mateso! Unataka kutuua?
 
Sio changamoto only if ukijua namna ya kuishi nae. Just dont trat her kama dhahabu ,treat hee kama wanawake wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…