Mwanaume Kufanya Mapenzi mbele ya Mwanaume Mwenzako ni Kudhalilishana

Mwanaume Kufanya Mapenzi mbele ya Mwanaume Mwenzako ni Kudhalilishana

Status
Not open for further replies.
Darasa la 3 unaenda kuuliza nini kwa huyo jamaa wa secondary???🤔🤔🤔

Kijijini kwenu hakuna wasichana? Mpo wanaume tupu?
Hiyo darasa la 3 ni kitambo sana ishapita miaka kumi na kitu, hivi kweli mtoto wa darasa la 3 anawezaje kumiliki simu kama hivi, Daah 🤣
 
Incase of uzinzi, but not Incase of smart men
Kijana mimi nimekuelewa vizuri sana,

Tatizo lako kubwa ni huna Self confidence,tatizo siku hizi watu wamekariri,kila kitu wanakuja na issue ya ushoga,

Usipende kukaa peke yako,jichanfanye na watu,kisha jaribu kujiamini,Self confidence yako itaimprove tu pole pole,

All the best young Boy.
 
Tabia za watu kula mademu zao mbele ya washikaji zimefanyika sana Hosteli Vyuoni.
Sema kwa uandishi wako na story ni "Bottom" mwenye Aibu saana!
Kuhusu vyuoni ni sahihi,kuna room mate siku moja karudi mida ya usiku,nadhan alijua nimeenda kwa dem wangu,kafungua kanikuta nipo kitandani,yeye hulala dek ya juu,wako mitungi,nikajifanya nimelala kimya,kafanya tuishen yale kamaliza freesh tu
 
Kijana mimi nimekuelewa vizuri sana,

Tatizo lako kubwa ni huna Self confidence,tatizo siku hizi watu wamekariri,kila kitu wanakuja na issue ya ushoga,

Usipende kukaa peke yako,jichanfanye na watu,kisha jaribu kujiamini,Self confidence yako itaimprove tu pole pole,

All the best young Boy.
Mkuu umeongea ukweli yaan kijana hana self esteem ndo maana anaogopa wanawake , sasa kuna wasiojielewa wanasema ni shoga utadhani hawakuwahi kuwa na lack of self confidence as well as self esteem

Anyway, najua kijana atakuwa kwenye early 20's hiyo hali ni kawaida sana
 
Kuhusu vyuoni ni sahihi,kuna room mate siku moja karudi mida ya usiku,nadhan alijua nimeenda kwa dem wangu,kafungua kanikuta nipo kitandani,yeye hulala dek ya juu,wako mitungi,nikajifanya nimelala kimya,kafanya tuishen yale kamaliza freesh tu
Na mipombe yao usiku shemej nae najiwekea huko huko deka ya juu. Mm ujinga huu chuo sijawah kukutana nao wakuu! Hizi ni tabia za watu wanaobalehe huko mavyuoni
 
Mkuu umeongea ukweli yaan kijana hana self esteem ndo maana anaogopa wanawake , sasa kuna wasiojielewa wanasema ni shoga utadhani hawakuwahi kuwa na lack of self confidence as well as self esteem

Anyway, najua kijana atakuwa kwenye early 20's hiyo hali ni kawaida sana
Sahihi kabisa mkuu,mleta mada anaonekana bado ni kijana mdogo.
 
We zuzu kweli, manzi anakuita unatetemeka...

Ndio maana jamaa kafunga mlango makusudi anakufundisha namna ya kuzagamua usiwe shoga, ameshajua una shida mahala....
Sio kutetemeka nionekane, sasa wewe unaona hivi mkuu unajua kuongea na mwanamke kazi, hata wewe naamini kuna level huwa hautest, ila inaweza kutokea kulingana na mazingira, yule jamaa dem wake alikuwa mkali sana na mimi nilimtamani, ko huenda baada yao kuona nipo nae wakajua na mimi ni wale wale watu wa matawi, mshikaji pesa anayo, na mimi kumwondokea gheto ni ili nimwache huru, siappreciate dharau kama zile, au uje unavuta fage karibu yangu nakuramba 🔪
 
Na mipombe yao usiku shemej nae najiwekea huko huko deka ya juu. Mm ujinga huu chuo sijawah kukutana nao wakuu! Hizi ni tabia za watu wanaobalehe huko mavyuoni
Unajua mara nyingi huwa tunaita exile,kama mwamba ana dem siku hiyo anakwambia mapema oya kesho nipishe katufute pa kulala ntakuwa na mgeni,ndio huwa hivyo

So siku ile huenda na mitungi jamaa akona kama noma na iwe noma,na wala sikumwambia kama niliwaona jana coz baada ya tuisheni dem akaondoka
 
Unajua mara nyingi huwa tunaita exile,kama mwamba ana dem siku hiyo anakwambia mpamea oya kesho nipishe katufute pa kulala ntakuwa na mgeni,ndio huwa hivyo

So siku ile huenda na mitungi jamaa akona kama noma na iwe noma,na wala sikumwambia kama niliwaona jana coz baada ya tuisheni dem akaondoka
Kupishana ipo.. sio ya hiv sasa mpigane miti mm nipo? Kumamae walahi labda kama umeleta dem wako tumtoe mande
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom