Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo darasa la 3 ni kitambo sana ishapita miaka kumi na kitu, hivi kweli mtoto wa darasa la 3 anawezaje kumiliki simu kama hivi, Daah 🤣Darasa la 3 unaenda kuuliza nini kwa huyo jamaa wa secondary???🤔🤔🤔
Kijijini kwenu hakuna wasichana? Mpo wanaume tupu?
Kijana mimi nimekuelewa vizuri sana,Incase of uzinzi, but not Incase of smart men
Kalaga Baho Nongwa Jamaa, nimepayuka hapo juu, samahani sana asee 🤝Yani nimeshikwa nanhasira ghafla tu.. mada gan hizi mwanaume mwenzet anatuletea? We unamuelewa huyu?
Kuhusu vyuoni ni sahihi,kuna room mate siku moja karudi mida ya usiku,nadhan alijua nimeenda kwa dem wangu,kafungua kanikuta nipo kitandani,yeye hulala dek ya juu,wako mitungi,nikajifanya nimelala kimya,kafanya tuishen yale kamaliza freesh tuTabia za watu kula mademu zao mbele ya washikaji zimefanyika sana Hosteli Vyuoni.
Sema kwa uandishi wako na story ni "Bottom" mwenye Aibu saana!
Mkuu umeongea ukweli yaan kijana hana self esteem ndo maana anaogopa wanawake , sasa kuna wasiojielewa wanasema ni shoga utadhani hawakuwahi kuwa na lack of self confidence as well as self esteemKijana mimi nimekuelewa vizuri sana,
Tatizo lako kubwa ni huna Self confidence,tatizo siku hizi watu wamekariri,kila kitu wanakuja na issue ya ushoga,
Usipende kukaa peke yako,jichanfanye na watu,kisha jaribu kujiamini,Self confidence yako itaimprove tu pole pole,
All the best young Boy.
Na mipombe yao usiku shemej nae najiwekea huko huko deka ya juu. Mm ujinga huu chuo sijawah kukutana nao wakuu! Hizi ni tabia za watu wanaobalehe huko mavyuoniKuhusu vyuoni ni sahihi,kuna room mate siku moja karudi mida ya usiku,nadhan alijua nimeenda kwa dem wangu,kafungua kanikuta nipo kitandani,yeye hulala dek ya juu,wako mitungi,nikajifanya nimelala kimya,kafanya tuishen yale kamaliza freesh tu
Sahihi kabisa mkuu,mleta mada anaonekana bado ni kijana mdogo.Mkuu umeongea ukweli yaan kijana hana self esteem ndo maana anaogopa wanawake , sasa kuna wasiojielewa wanasema ni shoga utadhani hawakuwahi kuwa na lack of self confidence as well as self esteem
Anyway, najua kijana atakuwa kwenye early 20's hiyo hali ni kawaida sana
Mkuu tatizo kasema anaogopa wanawake watu ndo hawamuelewi apoPole sana mkuu
Sio kutetemeka nionekane, sasa wewe unaona hivi mkuu unajua kuongea na mwanamke kazi, hata wewe naamini kuna level huwa hautest, ila inaweza kutokea kulingana na mazingira, yule jamaa dem wake alikuwa mkali sana na mimi nilimtamani, ko huenda baada yao kuona nipo nae wakajua na mimi ni wale wale watu wa matawi, mshikaji pesa anayo, na mimi kumwondokea gheto ni ili nimwache huru, siappreciate dharau kama zile, au uje unavuta fage karibu yangu nakuramba 🔪We zuzu kweli, manzi anakuita unatetemeka...
Ndio maana jamaa kafunga mlango makusudi anakufundisha namna ya kuzagamua usiwe shoga, ameshajua una shida mahala....
Unajua mara nyingi huwa tunaita exile,kama mwamba ana dem siku hiyo anakwambia mapema oya kesho nipishe katufute pa kulala ntakuwa na mgeni,ndio huwa hivyoNa mipombe yao usiku shemej nae najiwekea huko huko deka ya juu. Mm ujinga huu chuo sijawah kukutana nao wakuu! Hizi ni tabia za watu wanaobalehe huko mavyuoni
Kupishana ipo.. sio ya hiv sasa mpigane miti mm nipo? Kumamae walahi labda kama umeleta dem wako tumtoe mandeUnajua mara nyingi huwa tunaita exile,kama mwamba ana dem siku hiyo anakwambia mpamea oya kesho nipishe katufute pa kulala ntakuwa na mgeni,ndio huwa hivyo
So siku ile huenda na mitungi jamaa akona kama noma na iwe noma,na wala sikumwambia kama niliwaona jana coz baada ya tuisheni dem akaondoka
Tobaaaaa unafanya nini......? 😂😂😂😂nakuramba 🔪