Mwanaume kumsalimia mwanaume mwenzako mambo ni dalili mbaya

Unaongea na experience inaonekana wanakutamani mtaani kwenu unadhani kila mtu mende.
 
Ivi unajisikiaje kumsalimia mwanaume mwenzako mambo afu umebinya sauti? Salamu za wanaume zinaeleweka (oi ni gani, inakuaje) na zingine sasa unakuta mwanaume unatext mambo! Wenye tabia hizi badilikeni.

Kwahiyo hata babayako akikutana na wenzake anawasalimia oi ni gani,hizo salamu za vitoto vinavyobalehe kama wewe.ungesema habari za leo ningekuona umeshavunja ungo sasa wewe unaleta habari za oi ni gani
 
Kwahiyo hata babayako akikutana na wenzake anawasalimia oi ni gani,hizo salamu za vitoto vinavyobalehe kama wewe.ungesema habari za leo ningekuona umeshavunja ungo sasa wewe unaleta habari oi ni gani
Unaulizia baba unataka uwe stepmother??
 
Ivi unajisikiaje kumsalimia mwanaume mwenzako mambo afu umebinya sauti? Salamu za wanaume zinaeleweka (oi ni gani, inakuaje) na zingine sasa unakuta mwanaume unatext mambo! Wenye tabia hizi badilikeni.


Kwahiyo unamsema hadi rais mstaafu ndugu mkapa maana alikuwa anapenda kusalimia mambo!,kisha anakuja salaam aleykum na kumalizia na bwana asifiwe
 
What's up my man?!

How's it my guy?!

What's happening my soldier?!

Wazungu hadi wanaitana "man wangu" sisi kusema mambo imekua nongwa. Wabongo ni wanoko sana aisee.
Na ww mzungu iga kila kitu uwe chakula cha wanaume wenzako
 
Anyway, kikubwa ni aina ya tone itakayotumika.
Fikiria kidume kikusalimie "Kaka mambo yako"
Yaani hiyo hata ukaze sauti vipi, sio salamu yakiume.

Kama hujui usalimie vipi wanaume wenzako, cheki mifano hii:
-Mambo vp
-Sema mzee
-Niaje
-Kwema
-Ah Niambie
-Oi
-Habari ya saa hizi

Ciao
 
Ivi unawezaj kujua MTU amekusalimia ndivo sivyo kama wew uwaz uko anakomaanisha,..mi inaniumiza kichwa kuona watu umu wanaponda sana deviants na navojua MTU uwaza kila anachopenda kimtokee,...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…