Mwanaume kupanga nyumba au chumba na kukuta kuna mpangaji mwanamke

Mwanaume kupanga nyumba au chumba na kukuta kuna mpangaji mwanamke

luis diaz

Member
Joined
Feb 28, 2022
Posts
86
Reaction score
208
Habari wana JF,

Kupanga sehemu mpya na kukuta jinsia tofauti na yako kwanini huwa mahusiano yaanze.

Ukipanga sehemu mpya unaweza kujizuia kuanzisha mahusiano na mpangaji mwenzio?

Nina nyumba ya 3 sasa nahamia na zote nakuta wadada na mahusiano yanaanza na wengine wana watu wao japo hawaishi nao ila mizigo nakula.
 
Naona jamaa umeamua kuishi msemo huo.

Jiandae siku majamaa ya hao mamazi yakikugundua..lazima ukalie kaa la moto...mkuu ndugu.

#MaendeleoHayanaChama
JamiiForums-660505369.jpg
 
Jipige pige kifuani sema mimi ni kitombise 😊😊😊
 
kuna kabinti ka kijita hapa nilipopanga mumewe yuko huko visiwani anaweza kata hata miezi bila kuja mabaharia tunajipigia tu mizigo hakana shida katoto ka watu ni elfu 5 yako tu
 
Huko ni kujiendekeza tu.

Na si ajabu we ni mvivu unajua ukishaanzisha mahusiano kuna baadhi ya kazi za hapo ndani kwako atazibeba huyo mwanamke.
 
Back
Top Bottom