Habari wana JF,
Kupanga sehemu mpya na kukuta jinsia tofauti na yako kwanini huwa mahusiano yaanze.
Ukipanga sehemu mpya unaweza kujizuia kuanzisha mahusiano na mpangaji mwenzio?
Nina nyumba ya 3 sasa nahamia na zote nakuta wadada na mahusiano yanaanza na wengine wana watu wao japo hawaishi nao ila mizigo nakula.