Mwanaume kupiga bao nyingi kwa tendo moja nayo ni dhana potofu

Mwanaume kupiga bao nyingi kwa tendo moja nayo ni dhana potofu

Hii ni dhana potofu na ni tatizo.

Yaani mwanaume unaenda bao 3, 4 au 6 halafu mkeo ana bao 1 tu au hajapata kabisa, hilo ni tatizo rafiki zangu. Mwanaume mwenye nguvu (rijali) hasifiki kwa idadi ya bao anazopiga yeye, abadani, anasifika kwa muda anaotumia kutoka bao moja kwenda jingine, hiyo ni moja.

Mbili, mwanaume rijali hasifiki kwa idadi ya bao anazozipiga yeye, ila atasifika kwa idadi ya mabao anayompigisha mwanamke (anamfikisha mwanamke kileleni mara ngapi).

Alafu urijali wa mwanaume ni ahakikishe bao lake linaenda sambamba na bao la mkewe, hakuna utamu unaofikia pale mabao yanapokutana.

Sasa wewe unapiga mabao 4 ya dakika kumi kumi halafu unatoka unajisifia nimepiga bao 4, ni aibu usiongee hivyo mbele za watu. Ni tatizo hilo, tafuta tiba.

Jitahidi kwenye tendo matokeo yawe hivi:
Mume 1 - Mke 1
Mume 2 - Mke 2 (yaani 'draw' ya idadi yoyote ya mabao)

Au

Mume 0 - Mke 2
Mume 1 - Mke 3

Toka kwenye tendo mmetoka 'draw' ya mabao ya kufungana au wewe umefungwa na mkeo.

Sio unatoka;
Mume 4 - Mke 1 (halafu unakuja unatamba mtaani).
Huu nao ni ujinga. Hapa ni bao moja tu tena la sekunde 30 kisha naoga nasepa kwenda kutafuta pesa.
 
ukiona hivi mleta mada ndo wale wa kimoko chali mleta mada nguvu zako za gobole ukipiga kimoja mpka ujikoki. Tuache sie wenye nguvu zetu za ak47 tunamimina uji mpka basiiiiii. madem wenyewe hawapendi mtu anepiga kimoko chali na kumkojoza mwanamke inategemea umemuandaaje na yy anahisia gani juu yako
Kwa sababu hata hao wanawake mnaokutana nao wameshawazoea ninyi mnaoenda bao la kwanza chini ya dakiki 5 chali...ila akikutana na mtu bao la kwanza saa 1 au dakika 45 na style zote mmemaliza... Hutasikia anataka bao jingine... Tena anahamia kulala sebuleni hataki tena nyongeza...
 
jambo kama hamliwezi mnajua namna nyingi za kuliponda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa... Allaah aniepushe na uzinifu... Ingekuwa inaruhusiwa kujaribu...mwambie mke aje alafu ataanza kukurekebisha mengi...
 
Hili suala limekua likipotoshwa kwa masilahi ya kibiashara na wanaume wamekua walengwa kwa sababu ndio wenye nguvu ya pesa na ile ego mbele ya mwanamke na ndio hapo watu wanaanza kuangaika kutafuta tiba ya matatizo ambayo hawana na kuangukia uko kwenye vumbi la kongo, viagra, juisi ya tende n.k.. ukweli ni kwamba mwanaume kuwahi kufika ilo sio tatizo isipokua haoni sababu au hajui namna ya kujizuia ili aende mwendo mrefu zaidi., kwa kiafya mwanaume anapizi kuanzia dakika 1-5 mwanume ataesabika ana upungufu wa nguvu za kiume endapo asimamishi kabisa au anasimamisha kwa ulegevu, mashine inalala kabla hajamwaga, ansshindwa kurudia tendo mara ya pili(kwa kawaida mwanaume atahitaji dakika 30-40 kurudi mchezoni baada ya kumwaga) endapo mwanaume akitaka kwenda mwendo mrefu kuna mazoezi ya kufanya, vyakula vya kula na namna ya kuji-control kisaikolijia wakati wa tendo kwa upande wa pili mwanamke anaechelewa kufika kileleni uyo ndio mwenye tatizo wapo wanawake wengi tu ndani ya dakika 5 washafika kinachotokea ni mwanaume kujichelewesha ili aweze kufika pamoja na mwanzake iyo wala sio sheria au lazima ni hiyari tu ya mwanaume kwaiyo wanawake mnaochelewa kufika acheni kurushia lawama vijana wa watu kwa uzembe au matatizo yenu., manjiingiza dildo, chupa, ndizi, matango, mnakula chipsi mayai, pizza, mnakunywa vidonge vya kuzuia mimba ambavyo vinaenda kualibu afya yenu ya uzazi mnajialibu wenyewe alafu msipofika kileleni lawama apewe mwanaume..pesa akupe, nauli akupe, gesti na gharama zote alipe bado tena asipokufikisha kwa maradhi yako mwenyewe apewe lawama.. wanawake acheni ubinafsi.
Naqubali mzee
 
Tumeona maoni ya wanaume... Haya wanawake ninyi mnasemaje juu ya hilo.
 
Hii ni dhana potofu na ni tatizo.

Yaani mwanaume unaenda bao 3, 4 au 6 halafu mkeo ana bao 1 tu au hajapata kabisa, hilo ni tatizo rafiki zangu. Mwanaume mwenye nguvu (rijali) hasifiki kwa idadi ya bao anazopiga yeye, abadani, anasifika kwa muda anaotumia kutoka bao moja kwenda jingine, hiyo ni moja.

Mbili, mwanaume rijali hasifiki kwa idadi ya bao anazozipiga yeye, ila atasifika kwa idadi ya mabao anayompigisha mwanamke (anamfikisha mwanamke kileleni mara ngapi).

Alafu urijali wa mwanaume ni ahakikishe bao lake linaenda sambamba na bao la mkewe, hakuna utamu unaofikia pale mabao yanapokutana.

Sasa wewe unapiga mabao 4 ya dakika kumi kumi halafu unatoka unajisifia nimepiga bao 4, ni aibu usiongee hivyo mbele za watu. Ni tatizo hilo, tafuta tiba.

Jitahidi kwenye tendo matokeo yawe hivi:
Mume 1 - Mke 1
Mume 2 - Mke 2 (yaani 'draw' ya idadi yoyote ya mabao)

Au

Mume 0 - Mke 2
Mume 1 - Mke 3

Toka kwenye tendo mmetoka 'draw' ya mabao ya kufungana au wewe umefungwa na mkeo.

Sio unatoka;
Mume 4 - Mke 1 (halafu unakuja unatamba mtaani).
Hyo inaitwa illusion of truth effect ni kama tatizo la nguvu za kiume linavyokuzwa kwa maslahi ya wachache tu lakini ukiangalia tatizo sio kubwa kihivyo
 
Hii ni dhana potofu na ni tatizo.

Yaani mwanaume unaenda bao 3, 4 au 6 halafu mkeo ana bao 1 tu au hajapata kabisa, hilo ni tatizo rafiki zangu. Mwanaume mwenye nguvu (rijali) hasifiki kwa idadi ya bao anazopiga yeye, abadani, anasifika kwa muda anaotumia kutoka bao moja kwenda jingine, hiyo ni moja.

Mbili, mwanaume rijali hasifiki kwa idadi ya bao anazozipiga yeye, ila atasifika kwa idadi ya mabao anayompigisha mwanamke (anamfikisha mwanamke kileleni mara ngapi).

Alafu urijali wa mwanaume ni ahakikishe bao lake linaenda sambamba na bao la mkewe, hakuna utamu unaofikia pale mabao yanapokutana.

Sasa wewe unapiga mabao 4 ya dakika kumi kumi halafu unatoka unajisifia nimepiga bao 4, ni aibu usiongee hivyo mbele za watu. Ni tatizo hilo, tafuta tiba.

Jitahidi kwenye tendo matokeo yawe hivi:
Mume 1 - Mke 1
Mume 2 - Mke 2 (yaani 'draw' ya idadi yoyote ya mabao)

Au

Mume 0 - Mke 2
Mume 1 - Mke 3

Toka kwenye tendo mmetoka 'draw' ya mabao ya kufungana au wewe umefungwa na mkeo.

Sio unatoka;
Mume 4 - Mke 1 (halafu unakuja unatamba mtaani).
Hawahawa wenye stress za madeni ya vicoba?

Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
 
Hili nalo mkalitazame na mlifanyie kazi

Kasie mahaba matata na sukari yako Watu8 msipite huku. Shetani atawapoteza na kwaya itakufa

Babuuuuu....!!

Khaaa....!!!! Ndo umemuachia kijiti sukari ya warembo afanye ukaguzi....!!!

Ngoja nitoe siri ya shuga Watu8 , ila nakunong’oneza pekeyako wengine wasisikie....!

Bwana Sukari huyu ni zaidi ya sukari guru, warembo humu wamenuniana na kupigana vikumbo kutaka kuramba sukari.....

Nami nikashikwa na utomaso kutaka kuonja sukari....!

Kumbe bana ukiwa unabwia bange sukari haipandi....😅😅😅😅!!!!

Unajua ni sawa na nini....!!!

Uwe umepiga zako Vant au bia na ushaanza kulipia tozo maliwato bila shuruti halafu mc aka mshereheshaji akuite mbele ya ukumbi uje kula keki....!!!

Hiyo picha niliyoijenga hapo ni lugha ya picha....!

Usifanye masihara, Mahaba ni mziki mnenee....!!🤪🤪🤪🤪

Babu Asprin na swahiba wako Watu8 ....

Kasie hapa alipo amepuliza msuba na yuko high au peak....!

Pakikucha au akiamka mtamuelewesha alikuwa anaandika nini na alimaanisha nini....!!

Msipomuelewesha anawanunia mazimaaaaa na msipojali ataliaaaaaaaaa......!!!!!!
Hili sitanii niko siriasi...😜

Alamsiki bin Alnuru Mahaba.
 
Kasie popote ulipo mama naomba umjibu babu ODM kwa niaba...

Mjibu tu huwa unabwiya vijiko vingapi vya sukari...

Bwana bwana.... acha tuuu...!!

Vijiko vya sukari havina idadi, kila nikisema hiki cha mwisho... najikuta nimebwia kingine....

Na vile sukari ilivyo tamuu....!😋😋😋😋

Ila babu Asprin akinifukuza Butiama usinifungie mlango nikija kukugongea....!😅😅😅
Kasie popote ulipo mama naomba umjibu babu ODM kwa niaba...

Mjibu tu huwa unabwiya vijiko vingapi vya sukari...
 
Hayana formula kwani inategemea na mziki/ mkito
Wenyewe!
 
Back
Top Bottom