Mwanaume kupiga bao nyingi kwa tendo moja nayo ni dhana potofu

Huu nao ni ujinga. Hapa ni bao moja tu tena la sekunde 30 kisha naoga nasepa kwenda kutafuta pesa.
 
Kwa sababu hata hao wanawake mnaokutana nao wameshawazoea ninyi mnaoenda bao la kwanza chini ya dakiki 5 chali...ila akikutana na mtu bao la kwanza saa 1 au dakika 45 na style zote mmemaliza... Hutasikia anataka bao jingine... Tena anahamia kulala sebuleni hataki tena nyongeza...
 
jambo kama hamliwezi mnajua namna nyingi za kuliponda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa... Allaah aniepushe na uzinifu... Ingekuwa inaruhusiwa kujaribu...mwambie mke aje alafu ataanza kukurekebisha mengi...
 
Naqubali mzee
 
Tumeona maoni ya wanaume... Haya wanawake ninyi mnasemaje juu ya hilo.
 
Hyo inaitwa illusion of truth effect ni kama tatizo la nguvu za kiume linavyokuzwa kwa maslahi ya wachache tu lakini ukiangalia tatizo sio kubwa kihivyo
 
Hawahawa wenye stress za madeni ya vicoba?

Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
 
Hili nalo mkalitazame na mlifanyie kazi

Kasie mahaba matata na sukari yako Watu8 msipite huku. Shetani atawapoteza na kwaya itakufa

Babuuuuu....!!

Khaaa....!!!! Ndo umemuachia kijiti sukari ya warembo afanye ukaguzi....!!!

Ngoja nitoe siri ya shuga Watu8 , ila nakunong’oneza pekeyako wengine wasisikie....!

Bwana Sukari huyu ni zaidi ya sukari guru, warembo humu wamenuniana na kupigana vikumbo kutaka kuramba sukari.....

Nami nikashikwa na utomaso kutaka kuonja sukari....!

Kumbe bana ukiwa unabwia bange sukari haipandi....πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…!!!!

Unajua ni sawa na nini....!!!

Uwe umepiga zako Vant au bia na ushaanza kulipia tozo maliwato bila shuruti halafu mc aka mshereheshaji akuite mbele ya ukumbi uje kula keki....!!!

Hiyo picha niliyoijenga hapo ni lugha ya picha....!

Usifanye masihara, Mahaba ni mziki mnenee....!!πŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺ

Babu Asprin na swahiba wako Watu8 ....

Kasie hapa alipo amepuliza msuba na yuko high au peak....!

Pakikucha au akiamka mtamuelewesha alikuwa anaandika nini na alimaanisha nini....!!

Msipomuelewesha anawanunia mazimaaaaa na msipojali ataliaaaaaaaaa......!!!!!!
Hili sitanii niko siriasi...😜

Alamsiki bin Alnuru Mahaba.
 
Kasie popote ulipo mama naomba umjibu babu ODM kwa niaba...

Mjibu tu huwa unabwiya vijiko vingapi vya sukari...

Bwana bwana.... acha tuuu...!!

Vijiko vya sukari havina idadi, kila nikisema hiki cha mwisho... najikuta nimebwia kingine....

Na vile sukari ilivyo tamuu....!πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹

Ila babu Asprin akinifukuza Butiama usinifungie mlango nikija kukugongea....!πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Kasie popote ulipo mama naomba umjibu babu ODM kwa niaba...

Mjibu tu huwa unabwiya vijiko vingapi vya sukari...
 
Hayana formula kwani inategemea na mziki/ mkito
Wenyewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…