Mwanaume mashine; Pitia hapa uone mashine za kisasa kwenye kituo kipya cha TV cha Lemutuz

Kwa umri alionao mpaka ije kuwa kama BBC labda wajukuu!!

- Ninataka kuamini kwamba unaujua umri wangu na kwamba wewe ni Mungu, maana nilianza na Blog MWaka 2012 mkasema sana na leo yamekuwa haya bado mnasema tu maskini ya Mungu poleni sana hahahahahahaha hapa kazi tu hahahaha huwa hatusikilizi maneno maneno ya shombo!

le Mutuz
 
Shikamoo babu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hiyo ni kashfa mpya kwa le Mutuz yaani studio kubwa hivyo wewe unaiona ati ni ndogo!
 
Lemutuz una ID nyingi.. Hongera

Halaf umenunua viti mic coffee maker toka marekani na ulaya?

Hata watoto wa mange uwez ukawadanganya upuuzi huo

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
 
Wewe bro... waache tu hao maana wengine wanamaneno utazani wana million100 ndani kumbe wangine Hata mbuni hawana ndani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unawaondoa vijana mtaan kvp huku we mwnyw bado upo mtaani?

Sent from koromije using bashite
 
Ndugu yangu MSAGA SUMU kitu kikishafika Tanzania ujue kwa wenzetu kishakuwa old fasheni kabisa...
Four G inayotamba kwasasa niliikuta China 2014
Touch screen imeingia bongo 2006, niliikuta Japan 1999

Sent using Jamii Forums mobile app
 
safari bado ni ndefu kwa mkuu Lemutz cha msingi akomae tu asikubali kukata tamaa huo ni mwanzo mzuri kwake, hakuna aliyeanzia juu wote walipambana.
 
Lemutuz una ID nyingi.. Hongera

Halaf umenunua viti mic coffee maker toka marekani na ulaya?

Hata watoto wa mange uwez ukawadanganya upuuzi huo

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app


- Unasema kuna coffee Maker hapo? duhhahahaha kuingia kwa ID nyingi ni kunufaisha wengine siwezi kufanya huo mchezo never!

le Mutuz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…