William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Unawaondoa vijana mtaan kvp huku we mwnyw bado upo mtaani?
Sent from koromije using bashite
safari bado ni ndefu kwa mkuu Lemutz cha msingi akomae tu asikubali kukata tamaa huo ni mwanzo mzuri kwake, hakuna aliyeanzia juu wote walipambana.
Le Super boss...am your big number one fan!
Kila la heri kiongozi Mungu yu pamoja na wapambanaji wote.- Hakuna urefu wowote nina malengo yangu na soon utayaona cha msingi ilikuwa kweka bas na ndio hii hapa sasa subiri uone ninavyopaa hahahahahaha
le Mutuz
Kila la heri kiongozi Mungu yu pamoja na wapambanaji wote.
Picha ya kwanza ni Ayo. Hizo zilizofuata sijasema kuwa ni za ayo, nimesema kuwa ungekuwa na vifaa kama hivyo ungetamba kiasi gani kama kwa hivi vikamera vya video za kwaya ndo uNatamba kiasi hicho? umechanganyikiwa mpaka unasema picha za kweli na zisizo za kweli, hahaaaaaaa. Hatujakataa na kazi yako kusonga mbele, Tena wengi tu tunakuunga mkono na kukupongeza kwa jitihada hii uliyofikia, LAKINI kujisifia kiasi hicho eti vifaa vya kisasa na studio ya kisasa nikama umetuona sisi watu wa kolomije sana. PLEASE nyamaza kimya kisha fanya kazi yako and let us see, sisi ndio watazamaji na wapimaji sio wewe, LAKINI if it's for your eyes only, it's ok for you, inawezekana hapo ndo the best of your mind and thought, we agree with you with no doubt. The size of dreams are not measured by size of body.- hahahahaha mbona umechanganya picha za ukweli na zisizokuwa zake, kisa na mkasa ni nini hasa? hahahahaha sisi tunasonga mbele mkuu kazi kazi ndio imeshaanza hahahahahaha mtakufwa tu kwa presha hahahahaha
le Mutuz
Marangi rangi imekuwa kama Barbershop ila Big up kwa mashine za kisasa
Picha ya kwanza ni Ayo. Hizo zilizofuata sijasema kuwa ni za ayo, nimesema kuwa ungekuwa na vifaa kama hivyo ungetamba kiasi gani kama kwa hivi vikamera vya video za kwaya ndo uNatamba kiasi hicho? umechanganyikiwa mpaka unasema picha za kweli na zisizo za kweli, hahaaaaaaa. Hatujakataa na kazi yako kusonga mbele, Tena wengi tu tunakuunga mkono na kukupongeza kwa jitihada hii uliyofikia, LAKINI kujisifia kiasi hicho eti vifaa vya kisasa na studio ya kisasa nikama umetuona sisi watu wa kolomije sana. PLEASE nyamaza kimya kisha fanya kazi yako and let us see, sisi ndio watazamaji na wapimaji sio wewe, LAKINI if it's for your eyes only, it's ok for you, inawezekana hapo ndo the best of your mind and thought, we agree with you with no doubt. The size of dreams are not measured by size of body.
KEEP IT UP BIGMAN.
Millard Ayo ni mtoto wa juzi tu hapa lkn amekupiga gap mbaya kabisa.- Hakuna urefu wowote nina malengo yangu na soon utayaona cha msingi ilikuwa kweka bas na ndio hii hapa sasa subiri uone ninavyopaa hahahahahaha
le Mutuz
Em ona aibu basi...hiyo camera cannon EOS rebel T5i (700D) ndio unajitapa nayo kuwa umenunua bei kubwa kwanza ina 18.0 MP tu... Afu toleo La zamani ani . em tafuta hata rebel T6i kidogo ... Najiuliza ungekuwa na cannon EOS 5DS 50.6MP full flame je [emoji35] [emoji35]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hongera kwa hatua nzuri, wabongo hawaishi majungu. Binafsi nimeingia studio za TBC 1 na TBC Taifa Bamaga kiukweli ni vyumba vidogo hapo kwako kuna nafasi ya kutosha sana, studio sio uwanja wa mpira. Chumba cha studio sio kama ukumbi wa mikutano.View attachment 573110
- hahahahaha sure hii ni sehemu maalum ya kurekodia vipindi ni 10 x 10 nafikiri unajua Square Meter moja kwa hapa doantown baei yake so cha msingi ni location zaidi
View attachment 573112
- Huu upande wa pili ni ofisi ya productions na Blog, tuna nafasi ya kutosha kwa wale tuliowahi kuishi nje ya nchi kuwa na ofisi au studio downtown sio kitu rahisi nyie wadanganyeni waiojua lolote humu na hawajawahi kwenda popote ndio wanawaweza kuwashangilia lakini sio mtu aliyeishi nje na anajua thamani ya vifaa tulivyonavyo so far na bado hatujamaliza,
- Kuna mackbook desktops zinakuja from Nairobi, na bado kuna meza zinatengenezwa hazijaisha zinakuja sepcial kwa ajili ya kazi so guys tupo sawa saana na right on the track
le Mutuz
Millard Ayo ni mtoto wa juzi tu hapa lkn amekupiga gap mbaya kabisa.
In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
Sawa chief,all the best.- kwanza nimemkuta kwenye game, lakini ninajali yangu ndio maana ninafanya haya ninayofanya kazi kazi
le Mutuz
Sawa chief,all the best.
In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
Thnxs boss.- kool karibu kwa interview ukiwa na nafasi U know
le Mutuz
Mkuu hongera kwa hatua nzuri, wabongo hawaishi majungu. Binafsi nimeingia studio za TBC 1 na TBC Taifa Bamaga kiukweli ni vyumba vidogo hapo kwako kuna nafasi ya kutosha sana, studio sio uwanja wa mpira. Chumba cha studio sio kama ukumbi wa mikutano.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mdau mbona unamcheka[emoji3][emoji3]