Picha ya kwanza ni Ayo. Hizo zilizofuata sijasema kuwa ni za ayo, nimesema kuwa ungekuwa na vifaa kama hivyo ungetamba kiasi gani kama kwa hivi vikamera vya video za kwaya ndo uNatamba kiasi hicho? umechanganyikiwa mpaka unasema picha za kweli na zisizo za kweli, hahaaaaaaa. Hatujakataa na kazi yako kusonga mbele, Tena wengi tu tunakuunga mkono na kukupongeza kwa jitihada hii uliyofikia, LAKINI kujisifia kiasi hicho eti vifaa vya kisasa na studio ya kisasa nikama umetuona sisi watu wa kolomije sana. PLEASE nyamaza kimya kisha fanya kazi yako and let us see, sisi ndio watazamaji na wapimaji sio wewe, LAKINI if it's for your eyes only, it's ok for you, inawezekana hapo ndo the best of your mind and thought, we agree with you with no doubt. The size of dreams are not measured by size of body.
KEEP IT UP BIGMAN.