View attachment 572587
Baadhi ya mashine za kisasa zilizobahatika kutambulishwa na Lemutuz ni mashine maalum za kuongelea(mics), vifaa vya kukalia (maarufu kama viti), kamera za kisasa kabisa zenye uwezo mkubwa, extension cables zenye urefu usioelezeka, acs pamoja na mashine nyingine ndogondogo kama vifaa vya kunywea chai na super coffee.
Amejitahidi na amekomboa vijana wasio na kazi
Lemutuz ni msanii tu, hamna kitu hapo, ameanza kujitapa muda mrefu lakini hamna kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimecheka....sana...na mazuria mbali mbali....kwa jina jingine makapeti.
Na hizo rangi tena ni ofisi ya ccm kabisaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji134] [emoji134]Haha Evelyn Salt njoo uone extension cables zenye urefu usioelezeka
Mlaumu Msaga Sumu aliyeleta jfWatanzania tunajua kumkatisha mtu tamaa. Nyie mwenzenu kathubutu kufanya hiko kidogo. Wengine mnambeza hapa ila hamna hela hata ya kununua mic moja ya laki 5 nyambf zenu. Mwacheni huyo jamaa anapigana na life lake. Hata akiwa na chumba ka choo haiwahusu. Mbona mna akili ndogo kama ya liso
Sent using Jamii Forums mobile app
Mchicha una mashine nyingi za kuukuza ataa high-tech ijaweza kufikia [emoji23] [emoji23] [emoji23]Comments zenu mmh...vibaya hivoo. Hata mbuyu ulianza kama mchicha
Hahahaha
Hahahhahahahahhahahahjaha msaga sumu umenichekesha jaman duh eti vifaaView attachment 572587
Wakati yakiwa yamebakia masaa machache kabla ya macho na maskio ya mamilioni ya watanzania kuhamishiwa downtown Bongo kwa tukio kubwa namba mbili mwaka huu ,huku namba moja likiwa lile la usomaji wa ripoti ya mchanga.
Mmiliki wa kituo hicho kikubwa cha televisheni amewaonesha mashabiki wake mashine kadhaa alizonunua Marekani na Ulaya zikiwa katika majaribio ya mwisho mwisho.
Baadhi ya mashine za kisasa zilizobahatika kutambulishwa na Lemutuz ni mashine maalum za kuongelea(mics), vifaa vya kukalia (maarufu kama viti), kamera za kisasa kabisa zenye uwezo mkubwa, extension cables zenye urefu usioelezeka, acs pamoja na mashine nyingine ndogondogo kama vifaa vya kunywea chai na super coffee.
Lemutuz amedai ubunifu na kila kitu kwenye studio yake kunaenda kubadilisha jinsi watu wamezoea kupokea habari na uenda ikawa ni revolution itakayodumu kwa miaka 100 ijayo.
Pia Lemutuz ametumia muda huo kuwaomba vijana waliomaliza vyuo vikuu kuanza kutuma maombi ya ajira katika kampuni hiyo kuwa ya utangazaji