Mwanaume mashine; Pitia hapa uone mashine za kisasa kwenye kituo kipya cha TV cha Lemutuz

Mwanaume mashine; Pitia hapa uone mashine za kisasa kwenye kituo kipya cha TV cha Lemutuz

View attachment 572587


Baadhi ya mashine za kisasa zilizobahatika kutambulishwa na Lemutuz ni mashine maalum za kuongelea(mics), vifaa vya kukalia (maarufu kama viti), kamera za kisasa kabisa zenye uwezo mkubwa, extension cables zenye urefu usioelezeka, acs pamoja na mashine nyingine ndogondogo kama vifaa vya kunywea chai na super coffee.


Nimecheka....sana...na mazuria mbali mbali....kwa jina jingine makapeti.
 
Lemutuz ni msanii tu, hamna kitu hapo, ameanza kujitapa muda mrefu lakini hamna kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
upload_2017-8-24_14-30-46.jpeg


- hamna kitu hapa ni usaniii hahahahahahaha umenivunja mbavu sana hahahahahaha

le Mutuz
 
Le Mutuz kuna siku nilikuquote nikapigwa selo(ban), leo ngoja ninyamaze.

Ila picha za Le totozz, Le Mtindiz, umetubania sana hapa
 
Watanzania tunajua kumkatisha mtu tamaa. Nyie mwenzenu kathubutu kufanya hiko kidogo. Wengine mnambeza hapa ila hamna hela hata ya kununua mic moja ya laki 5 nyambf zenu. Mwacheni huyo jamaa anapigana na life lake. Hata akiwa na chumba ka choo haiwahusu. Mbona mna akili ndogo kama ya liso

Sent using Jamii Forums mobile app
Mlaumu Msaga Sumu aliyeleta jf
 
Comments zenu mmh...vibaya hivoo. Hata mbuyu ulianza kama mchicha
Mchicha una mashine nyingi za kuukuza ataa high-tech ijaweza kufikia [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
View attachment 572587

Wakati yakiwa yamebakia masaa machache kabla ya macho na maskio ya mamilioni ya watanzania kuhamishiwa downtown Bongo kwa tukio kubwa namba mbili mwaka huu ,huku namba moja likiwa lile la usomaji wa ripoti ya mchanga.

Mmiliki wa kituo hicho kikubwa cha televisheni amewaonesha mashabiki wake mashine kadhaa alizonunua Marekani na Ulaya zikiwa katika majaribio ya mwisho mwisho.

Baadhi ya mashine za kisasa zilizobahatika kutambulishwa na Lemutuz ni mashine maalum za kuongelea(mics), vifaa vya kukalia (maarufu kama viti), kamera za kisasa kabisa zenye uwezo mkubwa, extension cables zenye urefu usioelezeka, acs pamoja na mashine nyingine ndogondogo kama vifaa vya kunywea chai na super coffee.

Lemutuz amedai ubunifu na kila kitu kwenye studio yake kunaenda kubadilisha jinsi watu wamezoea kupokea habari na uenda ikawa ni revolution itakayodumu kwa miaka 100 ijayo.

Pia Lemutuz ametumia muda huo kuwaomba vijana waliomaliza vyuo vikuu kuanza kutuma maombi ya ajira katika kampuni hiyo kuwa ya utangazaji
Hahahhahahahahhahahahjaha msaga sumu umenichekesha jaman duh eti vifaa
 
Screenshot_2017-08-24-18-08-05.png


MSAGA SUMU ndo bloger wa udaku au
Sio bora ukadai chako mapemaaaaaa

Simpi Kiki kunguni wa mwendokasi
 
Back
Top Bottom