Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
ANaweza akawa na hela kwel, who knows, acha twende naye ado ado, ila ukiwa na hela halaf ukawa masikini hilo nalo ni tatizo zaid..kwanza naona haiwezekaniHalafu unaweza ukawa na hela ila bado ukawa MASKINI WA KUTUPWA
Tafuta hela masikini wewe unazeeka ukiwa huna pesa SasaANaweza akawa na hela kwel, who knows, acha twende naye ado ado, ila ukiwa na hela halaf ukawa masikini hilo nalo ni tatizo zaid..kwanza naona haiwezekani
Tumekubaliana kwanza kuwa wewe sio mtoto at that age of 28 yrs?? Kabla sijahamaTafuta hela masikini wewe unazeeka ukiwa huna pesa Sasa
Ukawa na hla halafu maskini wa akiliANaweza akawa na hela kwel, who knows, acha twende naye ado ado, ila ukiwa na hela halaf ukawa masikini hilo nalo ni tatizo zaid..kwanza naona haiwezekani
Masikini ndio han akili maana hata akili ya kupata pesa hanaUkawa na hla halafu maskini wa akili
Huu nao ni umaskini mkuubwa saa
Lakin kuwa nanoesa ndio suala la msingi zaidi kikubwa tu uwe umezitafuta mwenyewe,Ukawa na hla halafu maskini wa akili
Huu nao ni umaskini mkuubwa saa
Tunaanza kuelewana sasa🤣🤣🤣Lakin kuwa nanoesa ndio suala la msingi zaidi kikubwa tu uwe umezitafuta mwenyewe,
Maana hata ukiwa akili zoote na hauna hela hiyo ni fedheha sana. Mimi naona akili bila pesa huo ni umasikin mbaya zaid maana akil zako zinakua hazina msaafa wowote, bore uwe mjinga tu na uwe huna pesa, atleast unakua na convincing excuse
Mimi mtoto mdogo tajiri unaelewa maana ya tajiri mtotoTumekubaliana kwanza kuwa wewe sio mtoto at that age of 28 yrs?? Kabla sijahama
13thMasikini ndio han akili maana hata akili ya kupata pesa hana
NI muhimu na lazima kuwa nazoLakin kuwa nanoesa ndio suala la msingi zaidi kikubwa tu uwe umezitafuta mwenyewe,
Maana hata ukiwa akili zoote na hauna hela hiyo ni fedheha sana. Mimi naona akili bila pesa huo ni umasikin mbaya zaid maana akil zako zinakua hazina msaafa wowote, bore uwe mjinga tu na uwe huna pesa, atleast unakua na convincing excuse
Hongera sana tajiriTafuta hela
Hebu tajiri weka vocha kwanza za 20,000 hapa masikini tugombanie?Mimi mtoto mdogo tajiri unaelewa maana ya tajiri mtoto
Ili upate pesa lazima uwe na akili wewe ambaye huna pesa ndio huna akili ila sishangai maana machizi hua mnaona watu hawana akili nyie ndio mnazo13th
NI muhimu na lazima kuwa nazo
Lakini ukiwa hauna akili
They are useless
Tafuta helaUnajishughulisha na nini mleta mada?
Watoto wa darasa la 7 watafabya nini?Wazaz nitoe angalizo, peleken watoto pre form 1 au la weken simu zenu mbali, hawa watoto wa darasa la 7 watatumbua sana humu naada ya kurud mtaani plus kaka zao wa mwaka wa 3
Watatusumbua sana humuWatoto wa darasa la 7 watafabya nini?