Mwanaume masikini ni lofa, hapaswi kupendwa

Ukawa na hla halafu maskini wa akili

Huu nao ni umaskini mkuubwa saa
Lakin kuwa nanoesa ndio suala la msingi zaidi kikubwa tu uwe umezitafuta mwenyewe,

Maana hata ukiwa akili zoote na hauna hela hiyo ni fedheha sana. Mimi naona akili bila pesa huo ni umasikin mbaya zaid maana akil zako zinakua hazina msaafa wowote, bore uwe mjinga tu na uwe huna pesa, atleast unakua na convincing excuse
 
Tunaanza kuelewana sasa🤣🤣🤣
 
Masikini ndio han akili maana hata akili ya kupata pesa hana
13th
Lakin kuwa nanoesa ndio suala la msingi zaidi kikubwa tu uwe umezitafuta mwenyewe,

Maana hata ukiwa akili zoote na hauna hela hiyo ni fedheha sana. Mimi naona akili bila pesa huo ni umasikin mbaya zaid maana akil zako zinakua hazina msaafa wowote, bore uwe mjinga tu na uwe huna pesa, atleast unakua na convincing excuse
NI muhimu na lazima kuwa nazo

Lakini ukiwa hauna akili
They are useless
 
13th

NI muhimu na lazima kuwa nazo

Lakini ukiwa hauna akili
They are useless
Ili upate pesa lazima uwe na akili wewe ambaye huna pesa ndio huna akili ila sishangai maana machizi hua mnaona watu hawana akili nyie ndio mnazo
 
Hiv milioni nayo n ela kwa maisha ya sasa hiv hakuna umaskini mbaya kama wa akili
 
Back
Top Bottom