Mwanaume masikini ni lofa, hapaswi kupendwa

Mwanaume masikini ni lofa, hapaswi kupendwa

Hivi wewe jamaa unasoma darasa la ngapi. Hata kuandika Lofa unashindwa
 
Hua nashangaa Hawa wanawake wanaoishi na masikini yaani kuna mwanamke alikua kachakaa kapigwa vumbi na mtoto mgongoni anatia huruma anakuja kuniomba pesa Mimi kwakua ananijua ni tajiri mtoto nikimuuliza huna mme akasema anae ila Hana pesa Wala kazi kalala ndani aisee nikamuambia inakuaje na unakua na mwanaume rofa yaani pesa ya kukutunza tu Hana je ataweza kua tajiri kama Mimi ataweza kweli nikampa kimillion 1 nikamuambia aende akafungue biashara na mumewe rofa Ili watunze familia alinushukuru mara Mbili mbili aisee yaani kama ningekua Namtaka ningeshamla Mimi nashauri dada zangu msiolewe na marofa Hawa masikini matakufa na shida zenu sababu hawatobadilika
Tajiri na unashinda JF?
 
Jitu Zima hovyo hata kuandika halijui. Ungebaki huko huko facebook uendelee kuwatapeli wajinga wenzako
 
Jitu Zima hovyo hata kuandika halijui. Ungebaki huko huko facebook uendelee kuwatapeli wajinga wenzako
Mimi nimeshakuambia sijasoma ila Nina pesa wewe unaejua kuandika mbona umechoka na umasikini vipi elimu haijakupa pesa basi kula makaratasi🤣🤣🤣🤣
 
Tafuta kazi ya maana upunguze upumbuvu utakuja kupuliwa soon
 
Back
Top Bottom