Mwanaume masikini ni lofa, hapaswi kupendwa

Hivi wewe jamaa unasoma darasa la ngapi. Hata kuandika Lofa unashindwa
 
Tajiri na unashinda JF?
 
Jitu Zima hovyo hata kuandika halijui. Ungebaki huko huko facebook uendelee kuwatapeli wajinga wenzako
 
Jitu Zima hovyo hata kuandika halijui. Ungebaki huko huko facebook uendelee kuwatapeli wajinga wenzako
Mimi nimeshakuambia sijasoma ila Nina pesa wewe unaejua kuandika mbona umechoka na umasikini vipi elimu haijakupa pesa basi kula makaratasi🀣🀣🀣🀣
 
Tafuta kazi ya maana upunguze upumbuvu utakuja kupuliwa soon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…