Mwanaume masikini ni lofa, hapaswi kupendwa

Mwanaume masikini ni lofa, hapaswi kupendwa

Mbona mama yako alimpenda baba yako....
Kushika tushiling za mkopo ndio unataka kutishia mtaa mzima...
Mwanamke ayekupenda sababu ya pesa atakuua
 
Huwa nashangaa hawa wanawake wanaoishi na masikini yaani kuna mwanamke alikuwa kachakaa kapigwa vumbi na mtoto mgongoni anatia huruma anakuja kuniomba pesa.

Mimi kwakuwa ananijua ni tajiri mtoto nikimuuliza huna mme akasema anae ila hana pesa Wala kazi kalala ndani aisee nikamuambia inakuaje na unakuwa na mwanaume lofa yaani pesa ya kukutunza tu Hana je ataweza kuwa tajiri kama Mimi ataweza kweli.

Nikampa kimillion 1 nikamuambia aende akafungue biashara na mumewe lofa Ili watunze familia alinishukuru mara Mbili mbili aisee yaani kama ningekuwa Namtaka ningeshamla Mimi nashauri dada zangu msiolewe na malofa Hawa masikini mtakufa na shida zenu sababu hawatobadilika.
Tajiri ni nani,yupi hasa ?
Ana nini kinamfanya ajione tajiri?
Utajiri ni nini?
 
Tajiri gani anauyeandika uharo jamii forum huyu , au tajiri wa makamasi kichwani
Unajua maana ya tajiri mkundv wewe ?
Kweli wahenga walisema kosa kila kitu ila usikose elimu
Huyu boya pesa hana, kazi hana, elimu hana anafikiri anaweza leta janja janja atapeli wajinga humu. Wasenge wa namna hii sijui kwann moderator wanamchelewesha
 
Huyu boya pesa hana, kazi hana, elimu hana anafikiri anaweza leta janja janja atapeli wajinga humu. Wasenge wa namna hii sijui kwann moderator wanamchelewesha
Tafuta hela masikini wewe nitakulamba risasi mda sio mrefu niletee hasira za umasikini wako hapa
 
Back
Top Bottom