Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Mkuu au wewe umeshafeli tayari?Ujinga ni kufuatilia maisha ya watu.
Huna point brother. Suala la kuwa na mke ni priority ya mtu, nitafutia huwa mwanaume masiki mwenyewe wake watano hapa bongo miaka hii ( wake wa ndoa si mademu au michepuko) , ana wahudumia bila shida yoyote, na anahudimia na watoto bila shida kabisaTena huyo mmoja presha juu.
Hulali, huhemi, hukohoi๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Mke mmoja anakulinda balaa nafuu ya Bodigadi.
Una akili kweli?
Na bado anaweza kuzaa nje ya ndoa na akakubambikia.
Tusiposhtuka tutabaki kama Zamwamwa. Turudi kwenye Asili yetu mazee.
Naona sasa mmeamua kuanza kutusakama watu wenye hela zetu...Tena huyo mmoja presh4a juu.
Hulali, huhemi, hukohoi๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Mke mmoja anakulinda balaa nafuu ya Bodigadi.
Una akili kweli?
Na bado anaweza kuzaa nje ya ndoa na akakubambikia.
Tusiposhtuka tutabaki kama Zamwamwa. Turudi kwenye Asili yetu mazee.
I'm doing well with my damn fucking life, Why would you care??Mkuu au wewe umeshafeli tayari?
Gon On, keep it upI'm doing well with my damn fucking life.
Pesa mnazo mnang'aa ng'aa macho tuNaona sasa mmeamua kuanza kitusakama watu wenye hela zetu...
Ujinga ni kuzurura humu jamiiforum ukitegemea kukutana na habari unazozipenda tu.Ujinga ni kufuatilia maisha ya watu na kutaka waishi vile unaona wewe inafaa.
Hahahah.....MwambieUjinga ni kuzurura humu jamiiforum ukitegemea kukutana na habari unazozipenda tu.
Mkuu nyie matajiri si mnaongoza kujinyonga na kuchapiwa?maskini gani huyo mwenye wake watano /5 ambae anaishi vizuri na yupo wapi .
aliyekuambia furaha ya mwanaume ni wake wengi ni nani
hadithi za kijingajinga za kujifariji za maskini hazina nafasi dunia ya leo
Another Crack head ๐ฎ๐ฎUjinga ni kuzurura humu jamiiforum ukitegemea kukutana na habari unazozipenda tu.
Not Fair kabisa.Haya bhana,mke mmoja tena elimu hana lakin anampelekesha mtu na hela zake na maelimu yake yaan sio poa