Mwanaume Maskini ana Enjoy wake zake hadi watano, wewe na PhD yako , vyeo kibao, pesa zakumwaga, Mke mmoja tu. Huu sio Ujinga?

Mwanaume Maskini ana Enjoy wake zake hadi watano, wewe na PhD yako , vyeo kibao, pesa zakumwaga, Mke mmoja tu. Huu sio Ujinga?

Ina maana huyo mwanaume hana maisha mengine zaidi ya kupanga zamu? Watu wenye multiple partners kuna kitu kichwani hawajawekewa kwa hiyo wanaranda randa kukitafuta. Starehe ziko nyingi zaidi ya kucheza na papa 24/7
 
Mkuu umeelewa Mada?
 
Tena huyo mmoja presha juu.

Hulali, huhemi, hukohoi🤣🤣🤣

Mke mmoja anakulinda balaa nafuu ya Bodigadi.

Una akili kweli?

Na bado anaweza kuzaa nje ya ndoa na akakubambikia.

Tusiposhtuka tutabaki kama Zamwamwa. Turudi kwenye Asili yetu mazee.
Haya ni mambo ya ngoswe acha tunuachie mwenyewe
 
Karibu katika chama Cha kataa ndoa, chama chenye kupambania na kulinda haki na mali za mwanaume.

raisi wa chama chetu ni Liverpool VPN, katibu mwenezi ni Mimi Intelligent businessman, mwanasheria wa chama ni Xi Jinping, makamu mwenyekiti ni Natafuta Ajira.

Baraza la chama min -me, Loading failed.

KATAA NDOA LINDA UHURU WAKO
KATAA NDOA LINDA UCHUMI WAKO
KATAA NDOA LINDA MAISHA YAKO
KATAA NDOA MKATABA WA KITAPELI
View attachment 3235696
1000024434.png
 
Back
Top Bottom