Mwanaume Maskini ana Enjoy wake zake hadi watano, wewe na PhD yako , vyeo kibao, pesa zakumwaga, Mke mmoja tu. Huu sio Ujinga?

Mwanaume Maskini ana Enjoy wake zake hadi watano, wewe na PhD yako , vyeo kibao, pesa zakumwaga, Mke mmoja tu. Huu sio Ujinga?

Tena huyo mmoja presha juu.

Hulali, huhemi, hukohoi🤣🤣🤣

Mke mmoja anakulinda balaa nafuu ya Bodigadi.

Una akili kweli?

Na bado anaweza kuzaa nje ya ndoa na akakubambikia.

Tusiposhtuka tutabaki kama Zamwamwa. Turudi kwenye Asili yetu mazee.
Ukirud wewe kwenye hiyo asili inatosha usitupangie jinsi ya kuishi
 
Back
Top Bottom