Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
- Thread starter
- #61
Hahahaa.....Umenichekesha sana MahondawKwamba una kisomo na fyeo vyako na filefile unatupanga hata kumi na hatuchomoi 😏😏😏
Utafika imeisha kabisa hio ndude ujue😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaa.....Umenichekesha sana MahondawKwamba una kisomo na fyeo vyako na filefile unatupanga hata kumi na hatuchomoi 😏😏😏
Utafika imeisha kabisa hio ndude ujue😁
Mpee tuu......mpaka ndude yake ikonde kwa kazi ngumu
Amesema kashatubu
Amewaokoa na mengi, si unajua Trump Kachomoa Betri?
Akina nani?Hao ndio hukaza wake za maskini kati huko makazini.
Hiyo inaitwa "konkota wa mlenda"!Kazi sana.Tena huyo mmoja presha juu.
Hulali, huhemi, hukohoi🤣🤣🤣
Mke mmoja anakulinda balaa nafuu ya Bodigadi.
Una akili kweli?
Na bado anaweza kuzaa nje ya ndoa na akakubambikia.
Tusiposhtuka tutabaki kama Zamwamwa. Turudi kwenye Asili yetu mazee.
Hahahah
Wenye PHD hao...Akina nani?
Ni zaidi ya uzwazwa, yeye km anataka kuishi kimalaya malaya ruksa asitake kuhalalisha na kwa wengine..!!Ujinga ni kufuatilia maisha ya watu na kutaka waishi vile unaona wewe inafaa.
Aaah sasa si waowe wa kwao? Hizi za kuiba maofsini ndio zinasambaza HIVWenye PHD hao...
Acha wenye uwezo wale maisha.Ni zaidi ya uzwazwa, yeye km anataka kuishi kimalaya malaya ruksa asitake kuhalalisha na kwa wengine..!!
Trump aendelee na msimamo wake tuzike wapumbavu wawaza wanawake km sehemu ya kujiburudisha… 😏
Dr mzima huna hata aibu unahamasisha ngono 😏Acha wenye uwezo wale maisha.
Mtu mwenye hela hata uwe na wake watano bado ukimwendea Msichana kumtongoza anakubali wala hajali una wangapi nyumbani.
Tumia fursa kusaidia na wengine maisha mazuri.
Shida ya wasomi ni.mabahiri sana
Ni maswala ya kijamii haya.Dr mzima huna hata aibu unahamasisha ngono 😏
Maisha sio kukulana tu ewe phalla mwenzangu😆Tena huyo mmoja presha juu.
Hulali, huhemi, hukohoi🤣🤣🤣
Mke mmoja anakulinda balaa nafuu ya Bodigadi.
Una akili kweli?
Na bado anaweza kuzaa nje ya ndoa na akakubambikia.
Tusiposhtuka tutabaki kama Zamwamwa. Turudi kwenye Asili yetu mazee.