mbarika JF-Expert Member Joined Apr 1, 2015 Posts 6,290 Reaction score 8,600 Feb 15, 2025 #81 Bush Dokta said: Tena huyo mmoja presha juu. Hulali, huhemi, hukohoi🤣🤣🤣 Mke mmoja anakulinda balaa nafuu ya Bodigadi. Una akili kweli? Na bado anaweza kuzaa nje ya ndoa na akakubambikia. Tusiposhtuka tutabaki kama Zamwamwa. Turudi kwenye Asili yetu mazee. Click to expand... Ukirud wewe kwenye hiyo asili inatosha usitupangie jinsi ya kuishi
Bush Dokta said: Tena huyo mmoja presha juu. Hulali, huhemi, hukohoi🤣🤣🤣 Mke mmoja anakulinda balaa nafuu ya Bodigadi. Una akili kweli? Na bado anaweza kuzaa nje ya ndoa na akakubambikia. Tusiposhtuka tutabaki kama Zamwamwa. Turudi kwenye Asili yetu mazee. Click to expand... Ukirud wewe kwenye hiyo asili inatosha usitupangie jinsi ya kuishi
B Bush Dokta JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 24,831 Reaction score 45,154 Feb 15, 2025 Thread starter #82 mbarika said: Ukirud wewe kwenye hiyo asili inatosha usitupangie jinsi ya kuishi Click to expand... Okay let us enjoy......unapiga huku kesho unapiga kule. Wewe na Masters yako unalala kwenye gari
mbarika said: Ukirud wewe kwenye hiyo asili inatosha usitupangie jinsi ya kuishi Click to expand... Okay let us enjoy......unapiga huku kesho unapiga kule. Wewe na Masters yako unalala kwenye gari
mbarika JF-Expert Member Joined Apr 1, 2015 Posts 6,290 Reaction score 8,600 Feb 15, 2025 #83 Bush Dokta said: Ni maswala ya kijamii haya. Badala ya kugonga hovyo hovyo.....oa wake zako ukae nao watambulike utakuws umewaheshimisha Click to expand... Waoe wewe inatosha usitupangie jinsi ya kuishi
Bush Dokta said: Ni maswala ya kijamii haya. Badala ya kugonga hovyo hovyo.....oa wake zako ukae nao watambulike utakuws umewaheshimisha Click to expand... Waoe wewe inatosha usitupangie jinsi ya kuishi