Mwanaume mwenye hekima hamwambii Mwanamke wake haya mambo mawili

Jf kichaka Unaweza Kuta mtoa mada Yuko bar muda huu anagida pombe kupunguza stress za mapenz.
 
Kwaiyo 80 ni hela kubwa sana kumpa mwanamke Kwa ajil ya urembo apendeze wengine wakiwahudumia mnawaona wanapenda mate yanawajaa

Wanaume tafuten hela achen visingizio kama huwez hudumia mke wako achen kuja huku kulia mpate huruma za wengine
We kibaka hivi nimekusikia ukisema eti utumie pesa zangu kujifake saloon??
You b*tch nakuua halafu lilivyo limalaya limeshajipa kibali na umuhimu kwenye pesa za wengine..
 
Kama ni mtu sahihi na ni WA kwako huwezi complicate maisha yenu!

Tatizo tunawapata wasio sahihi na sio wa kwetu ndio maana kanuni kibao kama za hesabu!

Mentality inayorithiwa na kizazi Cha Sasa kwamba mwanamke anatoa uchi Hadi apate kwanza Hela ya mwanamme ndio atoe au atoe kwanza Hela ndio apewe uchi!HII MENTALITY NI YA KISHETANI NA SIO KANUNI HALISI YA MAISHA YALIVYOPASWA KUWA!

MWANAMKE LAZIMA AJIFUNZE KUJITEGEMEA KWANZA MWENYEWE KWA KAZI BINAFSI BILA KUTEMEA UCHI WAKE KAMA NDOANO YA KUPATA KITU TOKA KWA MWANAMME!!

MITHALI 31 INAMUONYESHA NAMNA MKE MWEMA ANAVYOPASWA KUWA MCHAPAKAZI KAMA MERIKEBU YA CHAKULA NA SIO MVIVU MACHO JUU JUU ILI AVUNE MAPESA TOKA KWA MWANAMME!
 
tu tafute hela? we hujui kutafuta hela? mbali na uchi mwanamke ana nini cha ziada? nidhamu ya pesa ndo msingi kwa mwanaume yeyote yule
Bro acha kujibizana na limalaya!! Haya ndio yale yanayoposti video Tiktok yanatikisa matako..
Imagine baba unapambana unatoa ada hadi binti anafika chuo kisha ajira yake anaenda kutwerk mitandaoni akidhani kuwa ni ujanja sana
Sasa hivi vimeamini kuwa umalaya ni sifa ya kujivunia sana
Halafu kichwani ni vyeupe sana hadi vinatoa jicho kwa kushindana..
Hawa ndio wanaongeza umasikini hapa nchini..
Hatuwezi kwenda sehemu yoyote kama mabinti ndio wamebeba mavichwa matupu hivi..
 
Shida ni moja siku hizi malaya wanalipiwa mpaka mahari na kuveshwa pete na mashela juu watu ambao walitakiwa kunyanyapaliwa na kubaki kama kibebeo cha shahawa za mashetani wenzao..
 
Shida ni moja siku hizi malaya wanalipiwa mpaka mahari na kuveshwa pete na mashela juu watu ambao walitakiwa kunyanyapaliwa na kubaki kama kibebeo cha shahawa za mashetani wenzao..
Japo ni ukweli mchungu lakini ndicho kinachpaswa kusemwa wazi kabisa na mabinti wajifunze!

Dhana ya toa uchi pata pesa au huduma ni kuhalalisha ukahaba ndani ya jamii!!

Kuhudumia familia sio jukumu la mume pekee kama inavyohubiriwa sana Leo hii Bali uwajibikaji was pamoja!!!

Ukiyasoma maandiko vizuri wanawake mashujaa kama kina dorkasi na wengineo utagundua walikua wachapakazi kweli kweli Hadi waume zao wanajivunia kama mithali 31,

Leo mwanamke anatafuta mwanamme mwenye hela ili ahudumiwe yeye akitoa uchi huo ni ushetani mkuu na malezi duni katika maisha!!!
 
Utopolo mtupu. Kwanini kuna viumbe kama wewe wanaojiona wakamilifu wakati ni hovyo. Kama umemuamini kukuzaa, kukulea, kukutawaza, na kukufanya wewe, huoni unachosema ni utopoloooo mwanangu?
 
Mabinti na vivulana vinatoka na akili za vipanya huko vyuoni vinadhani kuwa ndio usasa na akili sana inatia huruma sana..

Binafsi najitahidi kujikinga na kishawishi cha aina yoyote ile kitakachoipeleka nafsi yangu kwenye malango ya ngono
Natafuta pesa ili baadae ninunue pori sehemu niishi life la mwisho mwisho hapa duniani..
 
Utopolo mtupu. Kwanini kuna viumbe kama wewe wanaojiona wakamilifu wakati ni hovyo. Kama umemuamini kukuzaa, kukulea, kukutawaza, na kukufanya wewe, huoni unachosema ni utopoloooo mwanangu?
Sasa huyo ni mama yangu, kwa nafasi yake atabaki kuwa mama

Hapa expert tunazungumzia wake zetu wanawake zetu
 
Utopolo mtupu. Kwanini kuna viumbe kama wewe wanaojiona wakamilifu wakati ni hovyo. Kama umemuamini kukuzaa, kukulea, kukutawaza, na kukufanya wewe, huoni unachosema ni utopoloooo mwanangu?
Wewe mkeo kakuzaa??
Wale wanaojiuza pale mnyamani pub pale wamekutawaza??
Au unaruka ruka tu hapa na ujuaji wako na pombe za kupima kichwani..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…