Mwanaume mwenye hekima hamwambii Mwanamke wake haya mambo mawili

Mwanaume mwenye hekima hamwambii Mwanamke wake haya mambo mawili

900k ni umasikini??, ama niku fundishe kupangilia budget??
🤣Kaka Mie bado maskini sana 900k ujue hapo kuna kodi za serikali mkuu 5000 uchafu, 5000 service levy, kila mwezi, TRA 25000 Kila Baada ya miezi mitatu Aya bado umeme 14k kwa mwezi, chakula 10k watu wanne,mtu wq usafi 15k per week, mambo ni mengi chief
 
We jamaa una matumizi mabovu kinyama 😂.

Usi nunue vitu kwa Bei ya rejareja, nunua bei ya jumla.
Kisha weka stock ndani, hela ita onekana
 
Kwaiyo 80 ni hela kubwa sana kumpa mwanamke Kwa ajil ya urembo apendeze wengine wakiwahudumia mnawaona wanapendeza mate yanawajaa

Wanaume tafuten hela achen visingizio kama huwez hudumia mke wako achen kuja huku kulia mpate huruma za wengine
Hela tukishatafuta ndo tuwape ninyi? Hivi mchawi wenu alizikiwa wapi?
 
Kwaiyo 80 ni hela kubwa sana kumpa mwanamke Kwa ajil ya urembo apendeze wengine wakiwahudumia mnawaona wanapendeza mate yanawajaa

Wanaume tafuten hela achen visingizio kama huwez hudumia mke wako achen kuja huku kulia mpate huruma za wengine
Kwani wewe unapandwa na kupendezeshwa kwa shillings ngapi?
 
Sasa mwanachama mwenzangu ujue sahv kijana maskini na mwanamke singo maza ndio wanatakiwa waishi pamoja maana wote hawana soko
Unaikosea sana hiyo 30k per day unayoipata!! Au ndio niite kupatwa kwa pesa??

Mshahara wa mtu huo tena kada nyingi tu serikalini nakumbuka mwaka fulani hapo nyuma nyuma kidogo japo sio sana,, huo ulikuwa ni mshahara na lesheni alawansi ya Afisa wa kwanza (Lieutenant) jeshini

Halafu wewe unaupata unasema eti huna thamani mpaka uoe singo maza??

Hata ungekuwa unapata 12k per day bado una ujasiri wa kwenda chuoni kuchoose binti safi tu..
 
Zamani nilikuwa na imani kali kuliko hii ya kwako na hakuna mtu aliyekuja kuniambia badilika.

Bali nature yenyewe tu ilinionesha uhalisia wa watu wangu..

Nimewahi kusota two years straight hakuna kuingiza hata buku kwa wiki..
But imagine nilibaki na watu wawili tu upande wangu na walikaa na mimi as if sisoti yaani..
1,, Mke wangu
2,, Mtoto wangu mdogo wa kiume.

Msoto ulipozidi na kuibuka majanga ambayo yalichukua uwezo na nguvu zangu pamoja na uhuru wangu alibaki mmoja tu upande wangu..
Na huyo si mwingine bali mtoto wangu wa kiume yaani Imagine mwanaume nimekamatwa na kufungwa mwanamke akaondoka siku ya hukumu
Mtoto wangu wa miaka mitatu akakataa kuondoka na mama yake akasema yeye atabaki nyumbani kumsubiri baba yake mpaka atakaporudi..
Na alibaki kweli akaishi kwa majirani mpaka siku ile ambayo baba yake niliachiwa huru
Unaweza kuimagine hicho kitu yaani..
Huyo kijana wako ni mwamba sana, hapo una jembe
 
tunasoma nyuzi kama hiz huku tunatabasamu tu,,huku nje mnajiachia sana kwetu,,,eg mamaa kesho napokea million 2 nishaur nifanyie nin..........
Hao wa namna hiyo wanyoosheni mpaka akili zako zikae sawa
 
Achana na mambo ya hizo code ni hivi ukijuwa kuongea ni rahisi kumbadilisha mwanamke mawazo afu hakunaga mkate mgumu mbele ya chai
Kuna watu wanaongea kama wamemeza redio na bado wanataabika huku mtaani
 
Kua na huruma basi na wanaume wenzio
Wanajitakia wenyewe,tena huyo anayesema baby nina milioni mbili tunafanyaje,mpe kwanza bajet ya laki tano yako binafsi ujikwatue,halafu uone kama kesho atakwambia tena😂😂
 
Wanajitakia wenyewe,tena huyo anayesema baby nina milioni mbili tunafanyaje,mpe kwanza bajet ya laki tano yako binafsi ujikwatue,halafu uone kama kesho atakwambia tena😂😂
good idea,, Asante sana 😂😂😂ila we muuaji
 
Back
Top Bottom