Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Wanaume tumekuwa tukiangaika sana juu ya kufanya vizuri tuwapo kwenye tendo, wapo wanaotumia sijui mkongo, vidonge, energy drinks nakadhalika ili kuwa na pafomansi nzuri kwenye tendo.
Hivyo vyote hapo juu vina madhara kiafya tena vinakumaliza kabisa maana kuna kipindi usipovitumia hivyo huwezi kufanya chochote.
umeishawahi kujaribu hii kitu? Karanga mbichi nyeupe, asali, tende na maziwa fresh? Kama bado jaribu leo utakuwa kunishukuru.
Pia usisahau kutafuta pesa ni muhimu sana hii lasihivyo itakuwa ni kazi bure.