Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Wanaume tumekuwa tukiangaika sana juu ya kufanya vizuri tuwapo kwenye tendo, wapo wanaotumia sijui mkongo, vidongo, energy drinks nakadhalika ili kuwa na pafomansi nzuri kwenye tendo.
Hivyo vyote hapo juu vinamadhara kiafya tena vinakumaliza kabisa maana kuna kipindi usipovitumia hivyo huwezi kufanya chochote.
umeishawahi kujaribu hii kitu? Karanga mbichi nyeupe, asali, tende na maziwa fresh? Kama bado jaribu leo utakuwa kunishukuru.
Pia usisahau kutafuta pesa ni muhimu sana hii lasihivyo itakuwa ni kazi bure.
View attachment 2724316
Unastahili kuandika kitabu mkuu uache urithi hapa Duniani....mawazo yako ni sahihii 100%Ngono ukiwa na stimulus hata haikusumbui.
Stimulus ni PESA. Pesa! Pesa!
Kwanza ukimaliza unamshukru Muumba Kwa kukuumbia huo muogo ulionao.
Ukisikia MTU Hanna Pesa utapata ugonjwa wa kupiga kamoja chali sijui ndio wanaita nguvu za uume?.
Pesa lakini zisiwe za kafara..
Pesa kulingana na nafasi yako
Pesa zilizobaki nje ya matumizi ya kifamilia.
Pesa za ziada nenda kafanyie ngono maana utatoa ujila Kwa mwanamke.
Mkuu! Hawa viumbe tunawalaumu tu lakini wanaume tumeumbwa kuwahudumia. Shida ni kwamba maisha Kwa upande wa wanaume yametuwia magumu sana. Tunatamani wapenzi wetu au wake zetu tuwafanyie vile kama viumbe wanaoipendezesha dunia lakini maisha yanachanganya! Yanazidi kuwa magumu tu!Unastahili kuandika kitabu mkuu uache urithi hapa Duniani....mawazo yako ni sahihii 100%
ukiwa Vingunguti kwa Mnyamani ukapiga hii kitu lazima ukimbize mwenge siku nzima
ukiwa Vingunguti kwa Mnyamani ukapiga hii kitu lazima ukimbize mwenge siku nzima
Haijawahi kuniangusha!Wanaume tumekuwa tukiangaika sana juu ya kufanya vizuri tuwapo kwenye tendo, wapo wanaotumia sijui mkongo, vidonge, energy drinks nakadhalika ili kuwa na pafomansi nzuri kwenye tendo.
Hivyo vyote hapo juu vina madhara kiafya tena vinakumaliza kabisa maana kuna kipindi usipovitumia hivyo huwezi kufanya chochote.
umeishawahi kujaribu hii kitu? Karanga mbichi nyeupe, asali, tende na maziwa fresh? Kama bado jaribu leo utakuwa kunishukuru.
Pia usisahau kutafuta pesa ni muhimu sana hii lasihivyo itakuwa ni kazi bure.
View attachment 2724316
Bora uwaambie maana watu hawaambiliki wamekazana na mavitu ya ajabu wazikomoe sehemu za siri[emoji16][emoji16]Tafuteni pesa nguvu zitakuja tu automatically [emoji3]
Nyie mnapenda pesa au dyudyu? ππTafuteni pesa nguvu zitakuja tu automatically π