Sasa jirani hizi kazi tukizifanya sisi hamuoni vijana watakosa ajira??? Mnataka mafundi pacha wafanye nini!?????? KhhhaaHahhaaaa. Jirani yaani leo tunawasema kiutu uzima sio zile nyuzi za sijui mna vinaniliu [emoji85] [emoji85].
Leo ni vitu halisi kabisa ambavyo mlio wengi hamvitilii maanani zaidi ya kutegemea wasaidizi wa kiume.
Hahahaaaa. Tujibuni bana jirani ili tujue ni nini shida?
Hahaaa. Wakati naandika jirani nilijikuta natamani niongeze hako kaneno ka vijana kukosa ajira nikiwa nawaza mtajitetea kwenye hilo kumbe nawe umeliona na kunibania hapo. Lol.Sasa jirani hizi kazi tukizifanya sisi hamuoni vijana watakosa ajira??? Mnataka mafundi pacha wafanye nini!?????? Khhhaa
Tukirudi tumechafuka mnaanza kulalamika hamwez kufua
Jitahidi usikosee spelling maana sijapata notification uliponitaghahahaha sasa wewe umeielewa MADA MUBASHARA!sio @mwifa
Gym inatosha saana kututoa jasho...jirani.Hahaaa. Wakati naandika jirani nilijikuta natamani niongeze hako kaneno ka vijana kukosa ajira nikiwa nawaza mtajitetea kwenye hilo kumbe nawe umeliona na kunibania hapo. Lol.
Sio mbaya ila basi hata mara moja moja jirani muwe mnapumzisha pesa kidogo za kuwapa hao mafundi au na upande wa nyumbani naye houseboy siku hiyo awe na vimapumziko kidogo ili baba naye atoke jasho. Teh.
Endelea endelea utwaona wazee wa viti virefu. Chapati ziliiva sana hazikuunguaLeo umeniuzia chapati zimeungua ila maandazi yalikua bomba.Au ile divert ya barabara inasababisha utulivu ma mapishi uvurugike?
Asprin yupo kwenye hili kundi? Sijaona wazee wa viti virefu wakitajwa
Hahahaaa. Msg sent lol.
Nimecheka hiyo ya kutoa tyre walio wengi wanajua kuendesha tu na huwa ikifikia hiyo hali mpaka wawapigie simu mafundi wao waje kuwatolea na hata wale wanaoweza huwa hawatakagi kuchafuka.
Hatari sana Mbiti.
Endelea endelea utwaona wazee wa viti virefu. Chapati ziliiva sana hazikuungua
Ukichoka utanipaje game?Hawezi kukuacha ubebe mzigo mzito
Siamini kama mtoa mada kaachwaUchovu wa maisha + kuachwa hupelekea kuwaza mambo kama haya... Empty Set kabisa