sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 19,955
- 45,207
Sasa jirani hizi kazi tukizifanya sisi hamuoni vijana watakosa ajira??? Mnataka mafundi pacha wafanye nini!?????? KhhhaaHahhaaaa. Jirani yaani leo tunawasema kiutu uzima sio zile nyuzi za sijui mna vinaniliu [emoji85] [emoji85].
Leo ni vitu halisi kabisa ambavyo mlio wengi hamvitilii maanani zaidi ya kutegemea wasaidizi wa kiume.
Hahahaaaa. Tujibuni bana jirani ili tujue ni nini shida?
Tukirudi tumechafuka mnaanza kulalamika hamwez kufua