Mwanaume ndo huyu

Mwanaume ndo huyu

Hahhaaaa. Jirani yaani leo tunawasema kiutu uzima sio zile nyuzi za sijui mna vinaniliu [emoji85] [emoji85].

Leo ni vitu halisi kabisa ambavyo mlio wengi hamvitilii maanani zaidi ya kutegemea wasaidizi wa kiume.

Hahahaaaa. Tujibuni bana jirani ili tujue ni nini shida?
Sasa jirani hizi kazi tukizifanya sisi hamuoni vijana watakosa ajira??? Mnataka mafundi pacha wafanye nini!?????? Khhhaa

Tukirudi tumechafuka mnaanza kulalamika hamwez kufua
 
Sasa jirani hizi kazi tukizifanya sisi hamuoni vijana watakosa ajira??? Mnataka mafundi pacha wafanye nini!?????? Khhhaa

Tukirudi tumechafuka mnaanza kulalamika hamwez kufua
Hahaaa. Wakati naandika jirani nilijikuta natamani niongeze hako kaneno ka vijana kukosa ajira nikiwa nawaza mtajitetea kwenye hilo kumbe nawe umeliona na kunibania hapo. Lol.

Sio mbaya ila basi hata mara moja moja jirani muwe mnapumzisha pesa kidogo za kuwapa hao mafundi au na upande wa nyumbani naye houseboy siku hiyo awe na vimapumziko kidogo ili baba naye atoke jasho. Teh.
 
Sasa jirani hizi kazi tukizifanya sisi hamuoni vijana watakosa ajira??? Mnataka mafundi pacha wafanye nini!?????? Khhhaa

Tukirudi tumechafuka mnaanza kulalamika hamwez kufua

huenda hujanielewa !kweli vile
 
hahahaha sasa wewe umeielewa MADA MUBASHARA!sio @mwifa
Jitahidi usikosee spelling maana sijapata notification uliponitag

Haya ni maoni yenu na mtazamo wenu, nina uhakika sio wanawake wote wenye mtzamo huu
 
Hahaaa. Wakati naandika jirani nilijikuta natamani niongeze hako kaneno ka vijana kukosa ajira nikiwa nawaza mtajitetea kwenye hilo kumbe nawe umeliona na kunibania hapo. Lol.

Sio mbaya ila basi hata mara moja moja jirani muwe mnapumzisha pesa kidogo za kuwapa hao mafundi au na upande wa nyumbani naye houseboy siku hiyo awe na vimapumziko kidogo ili baba naye atoke jasho. Teh.
Gym inatosha saana kututoa jasho...jirani.

Hivi mbona mnataka kututesa tuu?? Hamtoshek na jinsi mnavyotutia stress tuu
 
tunapenda security,hizo kazi za kutoa jasho ni quiet reminder kuwa tuko safe/protected..

wewe ndo namba1 ULIYEELEWA !mmepata breakdown porin mume hujawah muona ht akiweka jeki chin ya gari ! IMAGINE
 
Leo umeniuzia chapati zimeungua ila maandazi yalikua bomba.Au ile divert ya barabara inasababisha utulivu ma mapishi uvurugike?

Asprin yupo kwenye hili kundi? Sijaona wazee wa viti virefu wakitajwa
Endelea endelea utwaona wazee wa viti virefu. Chapati ziliiva sana hazikuungua
 
Hahahaaa. Msg sent lol.

Nimecheka hiyo ya kutoa tyre walio wengi wanajua kuendesha tu na huwa ikifikia hiyo hali mpaka wawapigie simu mafundi wao waje kuwatolea na hata wale wanaoweza huwa hawatakagi kuchafuka.

Hatari sana Mbiti.

YAan hali inatisha !mie serious napenda men wa aina hii!yaan ht nje mti uanguke na mvua hujali sana...unajua mume atafanya walau kukata matawi !jaman hapa tuelewane tu!masuala ya kuwa na pesa ni kitu ingne !salute kwako Rebeca 83
 
Endelea endelea utwaona wazee wa viti virefu. Chapati ziliiva sana hazikuungua

Hata hizo za kuiva sana nazo nazipenda, zilikua tamu. Na sie tunakuja kununua vitafunwa asubuhi asubuhi tuna nafasi kweli hapo?
 
Back
Top Bottom