Mwanaume ndo huyu

Hata luku ikikata huhangaiki kumpigia,unajiongeza tu mana anafanya vitu vikubwa vya maana

hahahaha iweke fresh hv;kuna radi ya hapa na pale !basi radi lipige akimbilie kwenye mainswitch mwenzako ataogopa !atamwambia dada wa kazi au wife azime!lol
 
Ngoja waje na wenyewe wenye sifa za mwanamke. Yaan unaweza jikuta ww hauna sifa ata moja kati ya hizoo.
 
lol....yaan leo najua nan ypo fast kuelewa !poor u
Hapana huwez kugeuza ulicho kiandika kiwe shida ya mimi msomaji, nimekuelewa kabsaa
Unless ingekuwa ni kazi ya fasihi ningekupa pass kwamba skuwa fast kuelewa.
 
Hayo ya khanga moja jikoni hapana hiyo ondoa
 
Hiyo siyo mwanamume, labda Robot lako
 
Sasa si ndo yule mwanajeshi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…